MASIKITIKO vs BIKIRA


Mkuu hapo inategemea na wewe unavyoelewa maana ya Bikira.

1: Kuna wengine wanasema Bikira ni Kitu kitaalamu kinaitwa Hymen( Ambacho kuwa kinakatwa baada ya Binti mwenye hiyo kukutana na Mwanamme, na mara Nyingi huambatana na kutikwa kwa Damu)

2: Wengine ( Mimi mmoja wapo) Wanaamini Bikira siyo Kitu Bali ni Hali ya Mwanamke ya kutokuwahi kukutana na Mwanamme kimwili

Sasa kusema aidha Umembikiri au la Inategemea wewe ni Muumini wa definition gani kati ya hizo Mbili Nilizozianisha

Kwa Sababu mimi ni Muumini wa hiyo maana ya pili basi nasema kwa Uhakika kwamba Huyo Binti Ulimbikiri provided that wewe ndiye uliyekuwa wa Kwanza kumvua Chupi

Dk. Ndege ya Uchumi
 
Hahaha,kwani kukwatua ndo kulima jamani? Jamaa alipiga haro kwanza, asijali si bado wapo ama?
 
pole mwaya
utampata bikra mwngne..MBONA UMU JF WAPO WEEEEEEEENG SANA?
WASAKE

mmmh rose bikira siku hizi uttata mtupu nakwmbia ingekuwa mungu ndo anamtafuta bikira maria kipindi hiki ili ampe mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu (kama nimekosea hapo nisahihishe coz si mtaalam wa kanisani)angepata kazi sana kumpata mana mpka watoto wa miaka kumi siku hizi hawana hiyo kitu
 
Ningekuwa karibu ningemrukia kichwa jamaa, yaani umeishampiga golikipa chenga halafu umebaki wewe na goli unapaisha mpira dah, yaani hadi vinyweleo vya kwenye vidole vya mguuni vimenisimama.

Kutoa ile kitu sio kaz rahis baba...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…