Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
- Thread starter
-
- #21
Hapana. Kuhasiwa ni kuondolewa uwezo wa kumrutubisha mwanamke ili ashike mimba. Ukihasiwa mashine inaendelea kufanya kazi ila unakuwa hutoi sperm.Unajua maana yakuhasiwa? Me najua maana yake nikuwa hanisi
Inakua hutoi sperm?Hapana. Kuhasiwa ni kuondolewa uwezo wa kumrutubisha mwanamke ili ashike mimba. Ukihasiwa mashine inaendelea kufanya kazi ila unakuwa hutoi sperm.
Sijaelewa hapo, nakuwa sitoi sperm inamaana nakuwa simwagi/sikojoi sasa raha nitaihisi vipHapana. Kuhasiwa ni kuondolewa uwezo wa kumrutubisha mwanamke ili ashike mimba. Ukihasiwa mashine inaendelea kufanya kazi ila unakuwa hutoi sperm.
Kusudio la MUNGU halikua kwa mwanadamu Bali lilikua kwa ADAM, na Tena MUNGU kamuamrisha Adam wakati dunia ilikua haina watu, kwa leo hii MUNGU angekua anatoa matamko yake Kama zamani MUNGU angewakemea hawa watu wanaochochea wananchi wafyatuwe watoto bila mpangoAcha tutimize kusudio la mungu kuujaza ulimwengu. Tutaendelea kuporomosha tu watoto wa kutosha kama Rais wetu jiwe alivyotuagiza. Hizo ni janja za mabeberu tu
Maendeleo hayana chama
Nchi ni tajiri lakini raia wake masikini badochina my foot. wale jamaa ni magenious waapo wengi na akili ni nyingi ndio maana hawana umaskini ndio maana wanauwezo, hapa bongo mnafyetua elimu zero mwishowe watoto wanakuwa machokoraa
Nadhani utakuwa unatoa semen ambazo hazina sperm... Yale maji maji yatatoka ila yatakuwa hayana mbegu.Inakua hutoi sperm?
Na nguvu za kiume hawana pia wanawake wao hawana afya ya kuweza kuzaa watoto wengiKweli kabisa nchi za wenzetu watoto ni wawili tu.
Kukojoa unakojoa. Ila unachokitoa kinakosa uwezo wa kumrutubisha mwanamke.Sijaelewa hapo, nakuwa sitoi sperm inamaana nakuwa simwagi/sikojoi sasa raha nitaihisi vip
Hahaha lakini mkuu watoto ni u tajiriKusudio la MUNGU halikua kwa mwanadamu Bali lilikua kwa ADAM, na Tena MUNGU kamuamrisha Adam wakati dunia ilikua haina watu, kwa leo hii MUNGU angekua anatoa matamko yake Kama zamani MUNGU angewakemea hawa watu wanaochochea wananchi wafyatuwe watoto bila mpango
Mimi nitazaa mayai yote yaliyo tumboni huu msamiati watoto wanaleta umaskini kwangu sielewi.
Tupo pamoja mamsapuWatano
Nifafanulie vizuri hii commentWanaume ndio tunaijua ilo nyie jamii kamwe huwa hamuelewi
Hahaha umenifanya nicheke peke yangu;Mimi nitazaa mayai yote yaliyo tumboni huu msamiati watoto wanaleta umaskini kwangu sielewi.
Sitasumbua nduguHongeraa! Ila usisumbue ndugu wakusaidie kulea...
Mjue na kuwahudumia..Mimi nitazaa mayai yote yaliyo tumboni huu msamiati watoto wanaleta umaskini kwangu sielewi.
Nilipo andika nitazaa wote namaanisha nitawahudumia mahitaji yote Kuna tatizo mkuuMjue na kuwahudumia..