stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Jan 27, 2012 #1 ni mtu wa aina gani? je ni yule asiye na mali? je ni asiye na marafiki? Au ni yule anayetia huruma unakuta mtu ameona mwenzake kakoswa na gar barabarani anapayuka masikini yule kijana!
ni mtu wa aina gani? je ni yule asiye na mali? je ni asiye na marafiki? Au ni yule anayetia huruma unakuta mtu ameona mwenzake kakoswa na gar barabarani anapayuka masikini yule kijana!
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,735 Reaction score 20,785 Jan 27, 2012 #2 Nadhani hili neno lina maana nyingi. Masikini ni mtu asiye na mali/fedha au ni mtu mwenye mali/fedha kidogo ukilinganisha na watu wanaomzunguka. Mtu anakuwa masikini kutegemea na mazingira na watu wanaomzunguka.
Nadhani hili neno lina maana nyingi. Masikini ni mtu asiye na mali/fedha au ni mtu mwenye mali/fedha kidogo ukilinganisha na watu wanaomzunguka. Mtu anakuwa masikini kutegemea na mazingira na watu wanaomzunguka.