Masikini na mgao wa umeme

MAKAKI

Senior Member
Sep 2, 2011
166
0
masikini wengi hapa nchini waliposikia kuwa kutakuwa na mgao wa umeme nchi nzima walifurahi sana na kuipongeza serikali ya Jk kwamba kweli selikali imeamua kutujar yaani sasa kila mwananch kuvutiwa umeme!.
Baada ya mwezi kupita wakaona hali ya maisha imekuwa ngumu kupita kawaida na ilivo kuwa, maana hata kwa kusaga nafaka hakupo na hata wale waliokuwa na umeme wakogizan ndipo
walipo anza kuidai serikali mgao wao wa umeme walioahdiwa na serikali!
 

Mambina

New Member
Sep 9, 2011
2
0
Kwa wenye kipato kidogo Mgao umesaidia kurekebisha bajeti zao. Umeme wa Elfu 10 miezi 6
 

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,371
1,250
Maisha yamekuwa makumu mpaka kwa mifungo kama kuku,ng'ombe na wengne wanaofugwa na binadam bila kusahau nguruwe kwa sasa gunia la pumba linauzwa kati ya elfu 20 - 30.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom