Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Matunda naam mutayaona baadae, na njaa ikishaanza kukumaliza usirudi hapa na kilio, uende huko huko kwa babaako Magu,pumbavu wewe roho za kimaskini tu ndio zinawaongoza nyinyi magamba
 
Kwa hiyo mpaka manji anajisalimisha kabisa ulitegemea ataacha ushahidi bila kuuficha??? Duuh na hapa ndipo operation ya makonda inapokosa makali..... walitegemea gwajima ajisalimishe hku ameacha kilo kumi za madawa nyumbani kwake.?? Really??? Hvi hao wahalifu ni wajinga kiasi hicho?? Dah kaz kweli kweli
 

Awesome.

Wise Words as always.

🙂🙂🙂🙂🙂
 
Unahitaji kuombea ufahamu wako.
 
Nilichogungu kuna chuki kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho na pia wenye kazi nzuri na wasio nazo. Rejea furaha ya wengi mtu akitumbuliwa.
Na hiyo ndio nyota ambayo sizo bado anatembelea na kuendelea kuteka nyonyo za WaTz wengi. Kwa bahati mbaya na kutokana na ufisadi uliosimamiwa na CCM, WaTz tulio wengi tunaishi katika dimbwi la umaskini na fikira za kimaskini na kwa hivyo tunamwona kila alifenakiwa kiuchumi kuwa ndiye alitusababishia ufukara. Ametokea malaika kutoka katika kundi hilo hilo liloedekeza ufisadi na kuwaaminisha walalahoi kuwa 'matajiri' wote ni 'mashetani'. Kwa hivyo kila tunapoona 'tajiri' ametumbuliwa au ananyanyaswa hata bila kosa kwetu hiyo ni furaha na tunazidi kumpongenza mtukufu.
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Sio kweli Alshabab anatikisa sana Kenya. It's one of the 'risks countries' alafu capitalism ina nguvu sio rahisi ku penetrate.
 
kwani kwenda polisi mapema ni kushindana na dola?
 
badala ya kukaa na kutafakari kama ni kweli anahusika au hausiki haki itendeke na sio chuki we we unaongea kishabiki. hivi unadhani walioko magerezani wote ni wahalifu?
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda

Mlituambia hivyo hivyo wakati CEO wa TRA alipomalizwa, oooh Ethiopia wanamtaka, sijui ana maujuzi gani sijui.... tukasema good riddance, aende, hatumtaki. Na huyo Bakressa nae akizingua wanamtia mazabe, kwanza sio Mtanganyika!
 

Unaweza ukajisalimisha ukawa nayo hapo hapo kituoni Chief!!!!
 
hivi hujui kwanini bunge limechachamaa huko? , unaweza muweka mahabusu lakini bado hela yake ikaendelea kufanya kazi . hujaona tofauti kati ya walipotajwa wakina wema na walipotajwa hawa wa sasa . Achana na hela kitu kingine.
Kama kuna ukweli mkuu...Ngoja tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…