Masikini Kikwete

Masikini Kikwete

Mkapa ni kweli alikuwa amemsusa ,ila hapo kinachofanyika ni ku-pretend tu ili siku ziende,yule ni mtu mzima na anajua ni jinsi gani maneno yalivyotapakaa kuwa kikwete amebakia na familia yake kwa kampeni,kwa hiyo ili kujiondoa ili asionekane kuwa ni kikwazo ndio hivyo unavyoona.
kwani walikuwa wapi siku zote hizo? watu walishaamua zamani tu kuwa wanataka mabadiliko na mtarajiwa wao ndio huyo Slaa.:smile-big::bowl::doh:
Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni!
Kutoka leo si shabiki wake tena.
Nahisi mambo mabaya yanayoongelewa kumhusu ni ya kweli au!
AMENICHANGANYA KWELI MZEE HUYU!! Hawa jamaa hivi hawajui chochote kuhusu ufisadi!!
 
Back
Top Bottom