Masikini Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikini Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Oct 30, 2010.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa.
  Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni!
  Kutoka leo si shabiki wake tena.
  Nahisi mambo mabaya yanayoongelewa kumhusu ni ya kweli au!
  AMENICHANGANYA KWELI MZEE HUYU!! Hawa jamaa hivi hawajui chochote kuhusu ufisadi!!
   
 2. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani amesemaje na sisi tusio kuwepo huko tujue?
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawa ni wale wale ndugu yangu, tofauti zao ni nyakati!!
   
 4. F

  FM JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuahabarishe kwanza amesema nini?
   
 5. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,805
  Likes Received: 6,315
  Trophy Points: 280
  Kaongea nini?
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kasema JK msafi, kaongoza nchi vizuri sana hivyo watanzania wampe tena aendeleze kurudumu hilo. Kapona wapinzani kuukataa Mwenge eti hawamwenzi Nyerere.

  Poor BWM!
   
 7. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mduda upo mbali saaaaaaaana mkuu. Huyu mzee anakashifa za kweli na inabidi pamoja na bifu alilonalo na ***** huyu, ila inabidi ajikombe kwani anajua akiingia mshikaji jua amekwisha. So ukweli anajua nchi inaelekea kubaya sana, lakini afanyeje anapigania roho yake pale. Binafsi pamoja na upuuzi wake aliofanya, i still respect him...lakini kwa hapa ameniboa mbaya sana. Let us wait......lakini kwa nionavyo mimi is better tuandae vijana kuingia mstuni kuikomboa nchi...otherwise itakuwa aibu, shida, na matatizo makubwa zaidi.
   
 8. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  hivi alikuwa wapi siku zote hizo aje aongee leo kwa taarifa yao hatudanganyiki mwaka huu!
   
 9. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Afadhali kamaliza...alikuwa anatema pumba tuu!
  Anasema tusiwachague viongozi wanaoponda wengine...kisha anaendelea kuwaponda Lipumba na Slaa.
  Khaaa! Hivi hajui Mungu alitupa akili [​IMG]
   
 10. C

  Chumvi1 Senior Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimezima TV nimeacha kuangalia huo upuuzi wao hapo jangwani, niwaambie kitu wanajamvini huyo mkapa ni kuwa amesusia nchi hii anavyosema kikwete ni msafi ni dhihaka hiyo anawaona watanzania majuha kwa kiongozi walienae na anawapa changamoto hapo kama mna akili timamu chagueni kikwete. Alialikwa kwenye mkutano wa kanisa moja kule lushoto alichokiongea wazee wadini walitamani waruke ukuta wakimbie kuhusu serikali iliyopo madarakani. hapo ni akili kichwani mwenu maana alitoa kauli moja kwamba "mimi nimekaa madarakani miaka kumi na hakutokea mtu hata mmoja wa kusema mimi ni chaguo la mungu ila mwenzangu muda mchache mkasema eti ni chaguo la mungu"wazee wa kanisa walificha sura zao chini wenyewe.
   
 11. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  "mkapa kuwa amesusia nchi hii anavyosema kikwete ni msafi ni dhihaka hiyo anawaona watanzania majuha kwa kiongozi walienae na anawapa changamoto hapo kama mna akili timamu chagueni kikwete."
  eti eeeeeee!
   
 12. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  He had to come out in defense of JK. Remember, he is in the "LIST OF SHAME" liable for prosecution when Slaa takes over. As it stands right now to him, JK is a lesser evil.
   
 13. F

  Fanta Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This definately is the force behind....
   
 14. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,469
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika husema mdomoni yale wenyewe nafsi zao zinawasuta.Ndio maana mataifa mengi ya magharibi huwa wanawakejeli,Hawazungumzii chanzo cha tatizo,bali ulaani tu mtizamo wa nchi za magharibi wakiambiwa ukweli.Usitegemee Mheshimiwa Raisi Mstaafu asimame jukwaani aiponde CCM au JK,kwani itakuwa ni kuasi CCM,Na wanaweza wakamfanyia yale ya Mzee Jumbe.CCM ni syndicate once your in hutakiwi kupingana na wenzako au kuwakosoa adharani.
   
 15. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Dreaming! eee? Siasa zetu sio person's legitimacy ni party's legitimacy.
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona JK atakuwa kamwambia usiponikampenia ata siku ya mwisho Slaa akiingia utahama nchi
   
 17. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Alichofanya BWM ni ku-join the enemy maana alishindwa kumpinga katika nyanja nyingine hasa baada ya kuw mkimya pale Jambo la Mchuchuma lilipoachiwa jamaa walipasue ungeni.

  Ile ishu ya MCHUCHUMA ilikuwa mbaya na kama akina Mbunge Kimaro wasingepigwa stop na akina Pinda na Ngeleja (nadhani ikiwa shinikizo la JK kumnusuru BEN), Ben wala asingekanyaga Jangwani leo, ingekuwa kama Sunaye, kwani ulimuona (Sumaye) Jangwani??

  Pia Ben kaungana na 'lesser evil' maana anajua akiingia Mpambanaji 'The genuine PhD' Slaa, hakuna rangi ambayo asingeona kama 'rais makini' angeanza ufuatiliaji wa anga zote za kifisadi zilizo mbele ya uso wa nchi yetu hii.

  Ndio ile Dr Slaa alisema 'The fear of unknown', yaana wanashindwa kupata picha vichwani mwani 'itakuwaje hali' ijayo kama Dr Slaa atachukua nchi. Kiwewe lazima kiwapate! Umeona hadi anatumia Mwenge kujenga hoja ya kuwa ndio asili ya umoja? BEN akapumzike zake Lushoto asubiri matokeo nani anaingia katika mJengo mweupe!
   
 18. K

  KICHAPO Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ben pamoja na Fredsuma watampa SLAA KURA hilo halina ubishi jk atapigiwa na familia yake tu!
   
 19. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,447
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  nilishasema toka mwanzo hapa watu wakanizomea, kura sio suluhisho kwasababu watachakachua, suluhisho la kweli ni maandamano,migomo na watu tuhame kutoka kwenye nyumba zetu tuhamie barabarani hapo watang'oka. tukifanya kama wale wa KRIGSTAN watang'oka tu.
   
 20. V

  Victim Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Exactly- He was looking scared and sounded stupid. Panic has set in.
   
Loading...