miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
-
- #81
mkuu umenicheesha japo siyo cha kuchekaNdoa kwa mtu mwenye ngwengwe?... aaa wapi hata dudu nikilivalisha mfuko wa rambo na kapeti juu haliwezi kusimama achilia mbali kuingia ktk tundu lenye umeme!
sawa bossCounselling sio process ya siku moja mama....ni process ya siku nyingi.....
tatizo ni kwamba hua hatupend ukwel mchungu al the time tunaangalia yale yanayofurahisha nafsi peke ake.inabidi liwe jepesi kuliko kuja kuomba ushauri late
sawa mkuuHUyo kijana aende na mdada kwenye washauri nasaha, kuna shule nzuri sana ya discordant couple, ikiwa dada ataendelea kulazimisha jamaa inabidi abwage mzigo, kwasababu huyo dada anaweza hata kumuua au kumuambukiza jamaa kwa mbinu yoyote ile na zipo za kutosha
hili linapelekea matatizo makubwa kama haya .. sasa ona ndoa inavunjika inaathiri hadi ndugutatizo ni kwamba hua hatupend ukwel mchungu al the time tunaangalia yale yanayofurahisha nafsi peke ake.
sawa mkuuMuokoe kaka yako na umauti acha huruma za ajabu!
kweli kabisa hakumjaribu Mungu japo alikuwa wa pekee kwa babaHata yesu alivyomwambia shetan kuwa usimjaribu bwana mungu wako alijua kuwa japo mungu yupo naye lakn hawez kujitosa kwenye hatar pasipo sababu na akasalimika
Mmh huyo mkewe hatari tena mbwa mwitu alievaa ngozi ya kondoo yaani pamoja na yote hayo anataka kumwangamiza mwenzake aisee kuna watu wa ajabu
binti mkimya huyo aisee ila hatari sana
Huyo jamaa anahitaji ushauri na huyo mkewe vilevile
Sijamshauri afanye hivyo...nimesema tu ingelikuwa ni mimi ningelifanya hivyo. Yeye hawezi kufanya kama mimi kwasababu kibinadamu tunatofautiana.....tofauti yetu ya kwanza ni kuwa yeye anaendeshwa na hisia ilhali mimi natumia kichwa na rational decisions.
Lakini mkuu, kwanini umeufananisha ushauri wangu na scenario hiyo?
najaribu kufikiria ugumu wa hao ndugu zetu kama wanaweza kuish kama mke na mume bila kushirik tendo au kama itahtajika kwa kutumia kinga ila ni kwa badae zaidi kwa maana kama mtoto ujauzito tayar ushapatikana ni kuahkikisha mtoto anazaliwa salamahili linapelekea matatizo makubwa kama haya .. sasa ona ndoa inavunjika inaathiri hadi ndugu
mtihani mzito sana aiseeeInavyoelekea huyo mwanamke anataka kumwambukiza jamaa kwa nguvu ili akishaupata hiyo ndoa iendelee!
Maana hapo ndoa kuendelea ni vigumu au kuna vitu wataanza kujiwekea limits!
Huwa naamini hata mtu upite kwenye hali ngumu kiasi gani kila kitu huwa kinapita ila hili la kuishi na mtu unajua kabisa anao duh! Ni mtihani!
mkuu sijui ila nilimuuliza akanijibu kuwa hawakupima so hajui na mke hataki kufunguka kuhusu hillo swala
kingine unajua mambo ya wanawake kuendeshwa na hisia .. ataanza kuhisi jamaa anachepuka akichelewa ugomvi, akikosolewa ugomvi kuishi naye yataka moyo hasa kama mume na mke... mi sielewi kwa nini atake ngono kwa nguvunajaribu kufikiria ugumu wa hao ndugu zetu kama wanaweza kuish kama mke na mume bila kushirik tendo au kama itahtajika kwa kutumia kinga ila ni kwa badae zaidi kwa maana kama mtoto ujauzito tayar ushapatikana ni kuahkikisha mtoto anazaliwa salama
ila inanipa shaka sana hii hali amabayo imemkuta huyu dada ya kutaka kushurik tendo kilazma kama haitajirudia tena hapo badae
brodah Mr Rocky umesema vyema sana ila naomba niongezee jambo apomiss chagga pole sana na jela
Ashikilie msimamo wake bila condom hapana maana hapo mwanamke kashajijua anao anataka amwambukize na mwenzake waupate wote na hiyo ni mbaya sana.
Gubu haliwezi kuisha na wala halitamuua kijana ila akijifanya anafanya bila condom ajue tayari anaupata maana mwanamke inaonekana kadhamiria jamaa aupate na yeye
Asikilize ushauri wa wataalam na akiona yanazidi hapo ni kuwaita wazazi na kuwapa ukweli wa kinachoendelea. Mtoto anaweza kuzaliwa bila kuupata na hapo ajue hata maziwa ya mama hayanyonya
Kama ni mapenzi ampende na kumtimizia kama mke ila kushiriki tendo la ndoa bila mipira asijaribu hata siku moja maana hapo dhamiri ishamtoka huyo mama
my dear kuna wanaume wanendeshwa na mwanamke ni tatizo kubwa sana.. rafiki yangu huyu bwana ni mpole kazidishaAnatakiwa achunguze nyendo za mkewe enzi hizo kabla hajawa naye na hata baada ya kuwa naye, sio kumuuliza....halafu ajisachi mwenyewe kama ni kweli mwanamke alikuwa honest au alikua hataki kupima au ndiye aliyeplant idea ya kuaminiana blindly....na inakuwaje anamuuliza swali hataki kujibu? Alishashindwa kumhandle nini?
asante kwa ushauri maebrodah Mr Rocky umesema vyema sana ila naomba niongezee jambo apo
1. uyu kaka anatakiwa ajue kwamba kama mkewe ni muathirika basi uwezo wa kuwa na tayari up stairs apako vyema ivo awe makin sana na aende nae kwa utaratibu sana
2. kaka aamue kutumia condom kwenye kila tendo na asiwe na mawazo ya kusema hatendi haki apana ajitahidi kuepuka njia zote hatarish kama vile kunyonyana, nk
3. aende hosp ili apewe ushauri nasaha jins ya kumpenda zaid na kumuelekeza kuish kwa matumaini
4. amsisitizie mkewe atumie dawa za kurefusha maisha ili kuepuka magonjwa nyemelez lakin pia hii itampunguzia chances za yeye kuambukizwa.
5. asifanye jambo lolote asilokuwa na uhakika nalo maanke kama mkewe ni mjamzito ajue anatakiwa kupatiwa elimu, ushauri na tiba ili kumkinga mtoto anayetazamiwa na maambukizi ya mama kwa mtoto
wakati napokea hizi taarifa nilipata shida mnoo kwwa jinsi kijana alivyokuwa anamwamini mkeweNgumu kumeza
mtihani mzito sana aiseee
kweli kabisa kina piga kelele kama miss chagga tunaongea ongea utasikia siyo wife material .. mimi acha nipige kinanda cha mdomo mpaka mwishoNilichogundua tusiwe tunajudge kwa macho maana unaweza kuta mtu ni mpole, mstaarabu na ana heshima yaani ukimuona kama hajui lolote kwenye mapenzi ila kumbe ni moto wa kuotea mbali hata kuliko unaowaona micharuko!