Hisia zenyewe zinakuwaga hamna hata kidogokwani walipoenda kupata ushauri si walishauriwa na jinsi ya kukutana kimwli wakiwa katika halo hiyo?
hahahaahahaha huyo wifi yako kiboko isee...mwambie kaka ako asepe haraka akapange kwingine amuache hapo maana kila kitu hataki sasa mtamfanyaje!! au waiteni wazazi wake waje wamchukue wapele huko asituchefue hapa ukimwi wake kero awape wengine lol!!!yeye anasema anataka haki yake ya ndoa swala la VVU anasema ataponywa na Mungu hata dawa hanywi .. ujue hapa hata mtoto tumboni anamtesa kile kiumbe na kinaweza kufa hanywi dawa kula hataki vizuri ngono ndiyo anataka
Ha ha ha sawa mkuuhahahaahahaha huyo wifi yako kiboko isee...mwambie kaka ako asepe haraka akapange kwingine amuache hapo maana kila kitu hataki sasa mtamfanyaje!! au waiteni wazazi wake waje wamchukue wapele huko asituchefue hapa ukimwi wake kero awape wengine lol!!!
Hilo ni jaribu na yampasa ashinde. Yampasa kaka yako atende sawasawa na vile ambavyo angelipenda yeye atendewe kama yeye ndio angekuwa mwathirika mwenzake angekuwa salama. Akijifanya mjanja ajue atalipwa mshahara wa jeuri yake. Kuna mmoja alimwacha mkewe kisa kazaa mtoto mlemavu, alisema kwa jeuri kuwa "sisi kwetu hatuna matatizo kama hayo". Baada ya muda alipata ajari mbaya akakatwa miguu! Ni ajabu sana jinsi jaribu lilivomrudia, sijui hata kama aliendeleza kauli yake ya sisi kwetu hakuna......mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri please
Wee ukijua kama upande wa pili pameungua hata uvae kondom saba haisimami.Huyo mwanamke anataka wafe wote au ni nn sasa hicho atleast watumie kinga ili angalau mmoja apone!!ingawa ngumu kumeza
Ungekuwa wew ndo mwenye hyo hali ungekimbiwa ungejickiaje???Wameshapata watoto???kama bado amkimbie tu asijemuambukiza
Ungekuwa wew ndo mwenye hyo hali ungekimbiwa ungejickiaje???
Punguza unyanyapaa bado huijui kesho yako.