miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
namna ya kulishinda ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha yake kaharibuhilo ni jaribu lake yampasa alishinde
mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri pleasehuyo mwanamke anataka wafe wote au ni nn sasa hicho atleast watumie kinga ili angalau mmoja apone!!ingawa ngumu kumeza
namna ya kulishinda ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha yake kaharibu
Mwambie huyo KAKA yako atengane na huyo WIFI yako! akizubaa iko siku atajikuta anaonja kidogo na ndio kuukwaa!!
mwanmke now unaujauzito wa miezi miwiliwameshapata watoto???kama bado amkimbie tu asijemuambukiza
sasa kuachana si makubaliano ya wawili mkuu? binti mjamzito sasaKatika ndoa mnahaidi kuvumiliana hadi mmoja aidha atoweke duniani, achepuke au awe na UKIMWI. Hivyo mwambie asepe maana akijaribu tu anapata. Kwani wengine hawapo?
swala la kinga kuna ugumu ahat binti hayupo tayari.. nafikiria kama wakiishi miaka 30 ndani yandoa kila siku wanatumia kinga? mi nachomwombea huyu rafiki yangu ni mtoto asiathirike tumiss chagga pole sana na jela
Ashikilie msimamo wake bila condom hapana maana hapo mwanamke kashajijua anao anataka amwambukize na mwenzake waupate wote na hiyo ni mbaya sana. Gubu haliwezi kuisha na wala halitamuua kijana ila akijifanya anafanya bila condom ajue tayari anaupata maana mwanamke inaonekana kadhamiria jamaa aupate na yeye
Asikilize ushauri wa wataalam na akiona yanazidi hapo ni kuwaita wazazi na kuwapa ukweli wa kinachoendelea. Mtoto anaweza kuzaliwa bila kuupata na hapo ajue hata maziwa ya mama hayanyonya
Kama ni mapenzi ampende na kumtimizia kama mke ila kushiriki tendo la ndoa bila mipira asijaribu hata siku moja maana hapo dhamiri ishamtoka huyo mama
Tyta kijana ana moyo wa uvumilivu hata kuendelea kuishi naye ila binti kawa mkorofi analazimisha penzi na kilio juu.. mimi naona huruma sana kwa kijana analalamika maisha yake kaingiza doa japo kijana naye kafanya uzembe kuoana bila kupimakwa nini ang`ang'anie?mwanamke muathirika in the first place,probability kubwa kapata maambukizi either kwa kuchepuka ama ngono zembe before marriage.Ina maana hajatambua kama ana kosa?Inampasa ashuke,awe mdogo kama piritoni?..Unafahamu kuwa anaweza kufunguliwa mashataka ya kuambukiza VVU kwa makusudi?...