Masikini hana rafiki...

Masikini hana rafiki...

Kiuhalisia tajiri ndio hana rafiki bali wana
wapambe "wapambe nuksi".
Maana shida na dhiki ndio mzani yakinifu wa urafiki wa kweli.
 
Ndo maana maskin akipata hela na akitaka kuendelea kuish vile vile bila ya kuwa na marafiki anaonekana ana ringa ubinadamu kazi
 
Back
Top Bottom