Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,108
- 55,524
Urafiki wa kibinadamu unakuwepo pale panapokuwa na sababu maalumu, na hasa pale upande mmoja unaponufaika zaidi kutokana na uwepo wako.
Ni vigumu kwa mtu choka mbaya, asiyekuwa na maono n.k kupata rafiki. Na hii inapelekea, asilimia kubwa ya urafiki kuwa wa kimaslai tukipendana kiunafiki, huku tukiwa na malengo yetu ya siri katika uhusiano uliopo. Ukiwa huna kitu au u fukara usitegemee kupata rafiki wa kukufariji pale utakapoteleza.
Na hii inathibitisha masikini hana rafiki, angekuwa na rafiki asingekuwa masikini.