Acha waendelee kuumbuka..mwisho wa dharau aibu..
Mi niliyajua haya mapema, ubunge wenyewe alibebwabebwa kwa kumuwekea Bashe tuhuma kuwa siyo raia wa Tanzania!! Nina wasi wasi na udaktari wake huyu mtu, hana akili timamu
Duh!
HK.
Duh!
HK.
Nakumbuka maneno ya Mzee Sita aliposema siasa inahitaji ngozi ngumu, maana utakutana na watu wa kila aina na wenye akili tofauti na wote inabidi uwavumilie maana wote hao ni wananchi unaotaka kuwaongoza.
Naamini unalitambua hilo,songa mbele.
Duh!
HK.
Sema kitu kaka...
yani kigwangallah hafai hata ujunbe wa nyumba10 huwa nikumuona bungeni anavyotetea upyuuzi wa kiccm nazima tv.muonekano wa jimbo lako unafanana na akili zako,mnakaa bungeni unatetea utumbo yanayofanywa na chama chako mnafikiri hatuwaoni,hadi tunajiuliza hawa wabunge wana akili timamu kweli? uchumi tulionao hauendani na maliasili zetu,tanzania ilipaswa kuwa katika G7 ,kama tabora mnaona imekuwa dubai ni hukohuko sie hatujaridhika tunataka tanzania ifanane na mbinguni,nyie vilaza mtoke bungeni,kwa tanzania ilipofikia sasa inahitaji watu wa dizaini ya lema,iko siku tutagawana vyakwenu kama walivyofanya TUNISIA na EGYPT ,acheni kutuita wapole watu wameamka jiandaeni kugawana vyakwenu na wananchi ndio akili zitawakaa sawa
Sema kitu kaka...
Duh!
HK.
lol eti na yeye anataka urais , , , , ,mweeeeeh ,kasigazi aka tikaina magezi
hivi nzega bado atarudi?
haa umenikumbusha
kibanda cha simu -soggy doggy
hako kamstari kapo