Masikini Hamis Kigwangalla, Akosa wadhamini 450 nchi nzima

uchumi tulionao hauendani na maliasili zetu,tanzania ilipaswa kuwa katika G7 .

tunataka tanzania ifanane na mbinguni,nyie vilaza mtoke bungeni

Unaweza kutwambia kiuchumi ni nin kinachozuia Tanzania sasa kuingia kwenye G7?

Ni nin kifanyike ili uchumi wa Tanzania uwe sawa na nchi za G7 na raia wake kuishi maisha kama tupo mbinguni ndani ya miaka 5 ijayo?

Msulibasi,Mmaliwa
 
Ritz,Msulibasi,Mmaliwa

cha kufanya ni kufukuza mafisadi wote katika system na kuwanyonga kwa kuhujumu maisha ya maskin wa tanzania hii itasaidia kwa kiongoz mwingine mwenye tabia ya udokoz kuhofia maisha yake,pia kuweka wazi mikataba yote,na wala sio lazima tutumie rasilimali zote tulizonazo kwa wakati mmoja halafu bado tupo palepale.kuna mengi ya kufanya na naamini tunaweza ila tusisahau kuifurusha ccm
 
Kumbuka hoja yako ni hii

uchumi tulionao hauendani na maliasili zetu,tanzania ilipaswa kuwa katika G7 .

tunataka tanzania ifanane na mbinguni,nyie vilaza mtoke bungeni

Hujajibu bado tunaendaje huku kiuchumi, Kiuchumi tatizo letu nin?wapi parekebishwe?na ni namna gani tunaenda kiuchumi kuwa G7 ndani ya miaka 5 ijayo?

Lisome vizuri swali, tusaidie jibu kichumi maana hoja yako ni ya uchumi

Unaweza kutwambia kiuchumi ni nin kinachozuia Tanzania sasa kuingia kwenye G7?

Ni nin kifanyike ili uchumi wa Tanzania uwe sawa na nchi za G7 na raia wake kuishi maisha kama tupo mbinguni ndani ya miaka 5 ijayo?

Msulibasi,Mmaliwa
 
Kwani hapo nzega amekosa watu 450 wamjazie hiyo form? Akaipeleke! Alipataje ubunge kama anakosa watu 450??'?
 
Kumbuka hoja yako ni hii

Hujajibu bado tunaendaje huku kiuchumi, Kiuchumi tatizo letu nin?wapi parekebishwe?na ni namna gani tunaenda kiuchumi kuwa G7 ndani ya miaka 5 ijayo?

Lisome vizuri swali, tusaidie jibu kichumi maana hoja yako ni ya uchumi

tatizo lililopo tanzania ni la kiuchumi ,only that
 
Sasa amtumie wema sepenga kupata wadhamini ili in return ampe ubunge wa kuteuliwa na kisha unaibu waziri michezo sanaa..... Alisema wema anafaa sana kuwa mbunge
 
wewe mbona hutoi mawazo yako
 
tatizo lililopo tanzania ni la kiuchumi ,only that

Swali ni jinsi gani tunaenda kwenye uchumi wa G7 ndani ya miaka 5?

Kumbuka ni wewe ndio umesema Tanzania inaweza kuwa nani ya G7 na kuwa na uchumi wa Mbinguni.Sikuwahi kuisikia hili kabla ndio maana napenda unipe shule jinsi gani jambo hilo linawezekana katika miaka 5 ijayo?tunafikajefikaje huko kichumi?nipe shule ya uchumi kuhusu hilo.
 
Sasa amtumie wema sepenga kupata wadhamini ili in return ampe ubunge wa kuteuliwa na kisha unaibu waziri michezo sanaa..... Alisema wema anafaa sana kuwa mbunge
teh teh ushauri mzuri sana.. then Ritz awe waziri kamili ktk hiyo wizara.
 
Last edited by a moderator:
Swali ni jinsi gani tunaenda kwenye uchumi wa G7 ndani ya miaka 5?

Kumbuka ni wewe ndio umesema Tanzania inaweza kuwa nani ya G7 na kuwa na uchumi wa Mbinguni.Sikuwahi kuisikia hili kabla ndio maana napenda unipe shule jinsi gani jambo hilo linawezekana katika miaka 5 ijayo?tunafikajefikaje huko kichumi?nipe shule ya uchumi kuhusu hilo.

nina hakika wewe ndie HKigwangalla mwenyewe umetumia akaunt nyingine,manake umepanik hatare,sasa nakwambia dawa yenu inachemka,oktoba tunawaogesha mburula nyie
 
Last edited by a moderator:
Mama HELLENA ELINAWINGA kaamua kazitelekeza fomu zake pale ccm makao makuu Dododma, anadai amechoka kuombwa rushwa.. Ha!ha!ha! Nchi ngumu hii hawajui watu wanataka pesa kabla ya sera?

weka picha yake mkuu
 
Our next president...Hahaha[/QUOTE

na makamu wake ni shilole shishii baby
yaan anamwachia rasm jimbo shilole kwel tabora kuna wabunge..na yule msomal wa tabora mjin hana tofaut na huyu bwn kwa kuropoka bungen...wamrudie Mungu wanatabora
 
Braza kigwa acha ubahiri toa misimbazi watu wakudhamini kwani una hasara gani kutoa hizo milioni 4.5 wakati mwez agast unavuta milioni 280/=
 
Back
Top Bottom