Kijana nitakutoa bushaPole sana mkuu na bahati mbaya zaidi mkeo tupo nae karantiin huku vipimo vimemnyima kufika kwao
Joke
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mzoefu.This Rain ni Lockdown by default tu, we tafuta movie zako za Mijegejo anza kuangalia
Wakija wale wa bahat mbaya uko wap? Nije? Usilaze Damu ataondoka Tuesday Morning ukiwa unaenda Kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's great news,welcome to the world.One smart lady tied me up!
Shemeji yetu ni yule mfanyakazi wa ndani au. Hongera kwa kupata demu maana ulikuwaga ukika na uzi uko single.Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.
Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana. Tupeane mbinu mbadala kuepuka upweke na mvua hizi
Kijana nitakutoa busha


Mkuu kwani mimi kukutaarifu alipo mkeo ili usiangaike kumtafuta nimekose?Nini mbaya?Hivi hamumuogopi Mungu?
Utalijua kosa lako busha likishatokaMkuu kwani mimi kukutaarifu alipo mkeo ili usiangaike kumtafuta nimekose?
Sent using Jamii Forums mobile app