Mashushushu wa JF

Sijutii mkuu mfano wa AK 47 unabaki kama ulivyo.. Ule uzi ni mzuri sana lakini kumbuka hakuna highway inayokosa kona miteremko na vibao vya tahadhari
Kila penye zuri baya halikosekani .. Kikubwa ni mizani inaegama wapi
 
Mkuu kikiboxer ni aina tu ya uandishi na kutaka kuamsha hoja hojaji
 
Daaah kilikuwa kijiwe chetu cha kuchit chat. Vidudu mtu sijui hata vilitokea wapi wakaharibu kila kitu. Ila jf ina viumbe jamaniπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Niliwaroga wote.. Sasa usalama kama wa Homuz🀣
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,

sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwaπŸ˜… kiukweli najuta ila ndo hivyo yashatokea na wamezidi kunikuza,, bad enough ni kwamba mpka saiv nimepokea warning mbili ambazo sizielew,, ila freshiii itajulikana mwisho wacha niendelee kunywa mtori
 
Umemuita Labella na cocastic au nimesoma vibaya..? Haha
 
sema kuna makosa nimeyafanya mwishoni kuruhusu wapuuzi wawili kwenye maisha yangu, japo mwanzo sikuhisi kama watageuka mwiba nilihisi watakua sahihi na tungefika mbali ila matokeo yake waligeuka kuwa masnich wa kutupwaπŸ—‘
 
Humu mtu anatafuta ukaribu nawe ili akufahamu then arudi chemba kusagana na wenzie
 
sema humu JF kuna vi cycle vya kipuuzi mno watu wanasemana live live, kucheka na kusema mapungufu ya wenzio as if kuna alie mkamilifu,, mwanzoni wakati najoin sikuwahi kuviona ila baada ya kuanza kujichanganya na watu ndo nikaanza kuviona,,,
Utaona zaidi na zaidi πŸ‘€
Hatuna msaada na wewe wapuuzi wawili uliwapokea mwenyewe 🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…