Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

Mashuka ya Rangi ya Zambarau(Purple)

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wiki hii Wanasayansi wamekuja na utafiti wenye manufaa kwa wengi.

Watu wengi, sio wanawake wala wanaume huwa na matatizo ya unyumba lakini hawasemi. Hujitangazia ushujaa wa uongo. Utamsikia mtu akisema mimi? Wee...kumbe wapi Bure kabisa.
Lakini wanasayansi wa uingereza wamegundua kwamba kuna njia rahisi ya kuaminika na bora kuliko ya mtu kutumia madawa ya kusisimua ashiki.

Wanasayansi hao wa shirika la Retailer Littlewoods wanasema siri ya ubingwa kitandani unategemea mashuka ya vitandani.

Katika utafiti waliofanyia familia 2,000 za uingereza, watafiti hao wamegundua kumbe mashuka ya rangi ya zambarau au purple ni kiboko yao.

Na Utafiti huo unaonyesha kuwa waliotumia rangi hiyo walifaulu kuonana kimwili wastani ya mara 4 katika wiki moja na wale waliotumia rangi nyegine matokeo ilikuwa ni kujitahidi na kufaulu mara moja peke yake.

shirika hilo la Retailer Littlewoods la Uingereza linasema shuka hizo za rangi ya zambarau zinaleta ashiki au hamu kubwa katika tendo la ndoa

Source BBC
 
nawaonea huruma wanaotumia mashuka rangi nyeusi
 
Hahaha! Tafiti zingine kama za kichawi!
Tuseme tu a colourful, clean, un crowded room is enticing. Sio kila siku shuka nyeupe, siku zingine unaji-surprise na cool colours. Ila kushikilia zambarau, kama mtu hapendi je?
 
Kaunga WanaJf wengi wana matatizo ya unyumba...Kesho ukienda Kariakoo utakuta mashuka ya zambarau yote yameisha

Ha ha ha, itabidi nifanye hako kautafiti; sijui nianzie HSC?
 
Last edited by a moderator:
Nataka kujua wanaJF wangapi wanamatatizo ya unyumba as u have suggested!

Aaah kumbe hivyo....hapo sawa....

Hivi kwa nini umeachika? (hutulii nyumbani au una mdomo mrefu)
 
Aaah kumbe hivyo....hapo sawa....

Hivi kwa nini umeachika? (hutulii nyumbani au una mdomo mrefu)

Nani kasema nimeachika? It very hard to get rid of Kaunga weye!
 
na mashuka ya rangi nyekundu huhamasisha sana na kuvutia kurana TIGO???
 
Nilitaka nishangae unajua! Manake kwetu haijawahi kutokea mtu kuacha wala kuachwa! Boflo ana hamu ya kusutwa!
Msalimie kaka Eiyer,nimewamisi hadi nimewamisplace.
Hata sijui Boflo kapata wapi hiyo idea, no-****in-way! Eiyer si quiter, he is real into me na mpaka sasa hivi sijampa sababu yoyote ya kuniacha!
 
Last edited by a moderator:
Wiki hii Wanasayansi wamekuja na utafiti wenye manufaa kwa wengi.

Watu wengi, sio wanawake wala wanaume huwa na matatizo ya unyumba lakini hawasemi. Hujitangazia ushujaa wa uongo. Utamsikia mtu akisema mimi? Wee...kube wapi Bure kabisa.
Lakini wanasayansi wa uingereza wamegundua kwamba kuna njia rahisi ya kuaminika na bora kuliko ya mtu kutumia madawa ya kusisimua ashiki.

Wanasayansi hao wa shirika la Retailer Littlewoods wanasema siri ya ubingwa kitandani unategemea mashuka ya vitandani.

Katika utafiti waliofanyia familia 2,000 za uingereza, watafiti hao wamegundua kumbe mashuka ya rangi ya zambarau au purple ni kiboko yao.

Na Utafiti huo unaonyesha kuwa waliotumia rangi hiyo walifaulu kuonana kimwili wastani ya mara 4 katika wiki moja na wale waliotumia rangi nyegine matokeo ilikuwa ni kujitahidi na kufaulu mara moja peke yake.

shirika hilo la Retailer Littlewoods la Uingereza linasema shuka hizo za rangi ya zambarau zinaleta ashiki au hamu kubwa katika tendo la ndoa

Source BBC
Una ubia nini na hiyo kampuni kuuza mashuka ya purple?Maana hili promo halieleweki...
 
Kaunga WanaJf wengi wana matatizo ya unyumba...Kesho ukienda Kariakoo utakuta mashuka ya zambarau yote yameisha

Boflo I love this! Kicheko! Na wasinunue wakakaa kimya lazma watupe taarifa ya matokeo ya zoezi hlo.
 
Last edited by a moderator:
mi naamini,akili ya mwanadamu inataka kuchangamshwa jamani!
 
wa TZ hatujatumia mashuka ya zambarau,tayari idadi ni kubwa kuliko ya utafiti,tukitumia si itakuwa kasheshe majumbani!
 
Back
Top Bottom