Mashujaa Wetu: FMES versus Kuhani Mkuu

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
What the hell, I am bored with this Ballali stuff as if there is gong to be a resolution and all culprits to be in jail.. as Nyani would say ggrrrrrrr! ahhhhh!

Sasa nawaleteeni kubwa kushereheka siku ya Mashujaa hapa Marekani. Pambano kati ya Field Marshal ES na Kuhani Mkuu.

For a while nimeona hawa wakulu wawili wakitoana ngeu, kukehebiana, vijembe na vinsu vyose, sasa kwa nini Mchungaji Mwanamapinduzi aliyejaa neema na upendo asianzishe mpambano kati ya hawa mafahali wawili?

Mods naomba msiondoe hii thread hapa kuipeleka kwenye nyepesi au udaku mpaka mchuzi umwagike, mtu apigwe ndoo, mikono itembee na tujue nani zaidi, ni FMES au Kuhani Mkuu?

Let the fight begin. Tunatafuta shujaa mpya!
 
Sasa ndugu mchungaji, basi si ungetufutia hayo maneno ya chini ya mstari yanayokuja na kila message inayokuja toka kwako, yaani "Amani Iwe Nanyi"
 
Hebu tuambie mpambano ni juu ya nini hasa... Manake kule kwenye msiba wa Balali mambo yalikuwa mmhm
 
Hey hata katika mpambano tunawatakia Amani ya bwana, sasa si kila mmoja wao atapiga swalat na kudai ni nguvu za Muumba ndio zitampa ushindi?

Kama mnaona neno mpambano wa mikono na ndoo ni mbaya, basi mdahalo....

Nani zaidi FMES au Kuhani Mkuu?

Fundi na Jinalako chagueni upande au andaaeni Mahindi lipuka na huku MwK akiwa mtangazaji!
 
Mie nipo Pembeni Nangoja kumtupia Taulo Mtu...."Tawile waungwana".Lakini wewe Rev. naona sasa unatuletea mambo,Unaona watu wanaanza kuchagua Timu Eeeeeh!!!.Ngoja mie niwahi gari ya mwisho nisije nikachelewa kwetu Bonde....na hivi leo ni weekend kila mtu anawahi hili basi "Mwanamgosi".
 
I was gonna take the high rioad, but what the hell, even the eminent Fundi saw it fit to indulge.

All things considered Kuhani Mkuu is keeping things in check.
 
tupe kwanza nyimbo zao!si unajua hata kwenye mziki huwa unapigwa kwanza tunasikiliza nyimbo then tunachagua;sasa nani zaidi kwa vigezo vipi?
 
Rev. Kishoka, naona umezidisha kipimo cha 'maji ya uzima' leo :) ....... lol

Mwnzenu nimeshatoka msibani na siwaambii nilichokiona, ni siri yangu ya moyoni, ngoja nitafute yale maji ya Yohana Mtembezi..
 
Wapambe, nendeni Gezaulole, Kibamba na Igunga mtangazie wana Jamii kuwa kuna mpambano mkali umeanzishwa kati ya FMES na Kuhani Mkuu!
 
Tutakupa taulo upige deki kufuta damu itakayomwaika! Au unataka kuwa Micheal Buffer au Harold Lederman?
 
sasa mchungaji huo wimbo wa "Anameremeta"unakuwa wa wote sasa naona hakuna kinachowatofautisha!hivyo ngoma droo!hakuna nani zaidi!
 
Back
Top Bottom