Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 574
mimi hapa na mudiplomat wangu mie nina miaka 29 mdiplomat anamiaka 65 yaani kansomesha,kanipa kazi gari,nyumba safari kibao nimeijua dunia kupitia yeye rum anaenda uvinza narusharusha miguu nkishtuka nakuta kichwa kina mvi katikati naendelea na safari.Kimoja kinatosha nainjoi.Ila pia ni serengeti wangu ana miaka 21 ananikuna,hekaheka nafungulia bomba maromance ya kufa taratibu nikishtuka hata sijui kaingia saa ngapi.
Raha sana serengeti maisha yake yapo hatarini ameenda pemba kujificha mudiplomat kagundua.Ila nitaenda pemba.
Wababa wanajua mapenzi sana serengeti boy kwa ajili ya kunipa company tu
Raha sana serengeti maisha yake yapo hatarini ameenda pemba kujificha mudiplomat kagundua.Ila nitaenda pemba.
Wababa wanajua mapenzi sana serengeti boy kwa ajili ya kunipa company tu