Ogopa sana mwanamke wako akikuita ''dady''

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu ..

Bila ya kupepesa macho

Taka usitake kuitwa "dady" na mwanamke wako ni ishara mbaya sana na ni dalili za wazi kuwa wewe siyo mpenzi wake au mume wake, bali wewe ni baba yake.

Sasa nyie endeleeni kuwazoesha wanawake zenu kuwaita "dady" huku mkizania ni sifa, kuvimba na kujiona mnajua kucare sana mtakuja kuachwa pabaya sana vijana

Ukweli ni kwamba ukiona mwanamke amevuka mipaka na kukuita dady fahamu kwamba unafuja mali nyingi sana kwake kiasi kwamba moyo wake na hisia zake zimehama kutoka mpenzi / mume mpaka zikakuona wewe ni baba yake mzazi, hivyo huna sifa zakuwa mwanaume (mume) wake.

Atakuita dady na chiu atakupa na utafanya kila kitu ila amini na kuambieni vijana utapigwa na kitu kizito mfano wa kisicho bebeka wewe endelea tuu kukaza fuvu.

Nb. Mwanaume wa kweli hawezi kukubali mwanamke wake akamuita dady, mwanamke akisha kuita "dady" piga chini
 
Mkuu nime ku p.m . Kuepusha nzi baadhi hapa nawakwepa
 
Nini tena kimetokea uko pole mkuu
 
Sasa kama huna hela na akakuita hivyo?
Ukiona huna hela na anakuita hivyo jua wewe upo kwa niaba ya kumdekeza, kumliwaza anapo zinguliwa na baby wake, kumsimamia akamilishe mishe zake, na kutumia mawazo yako kujinufaisha yeye binafsi yake then asepe kwa baby wake hapo baadae.

Haijalishi mbususu unapewa style hata zile za laana.

Piga chini

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom