Hatuongi mashuga mamy

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Habari

Leo siku yangu ilikuwa bize kidogo lakini nashukuru maangaiko yameenda vizuri kiasi chake

Sasa baada ya kumaliza miangaiko yangu ndipo nilipigiwa simu na jimama mmoja hivi mumewe ni mhandisi wa umeme hapa dar

Akaza kuuliza uko wapi nikasema natoka kuzulula akasema nataka tuonane hapa juliana sasaivi nimekumic sana sijakuona then napenda unavyo ongea nataman niwe na wewe mda wote nikasema poa nakuja

Saa kumi nikafika pale juliana ee bhna wewe kufika pale akaja muhudumu kaka unatumia kinywaji gani nikasema maji tu new drop yulee shuga akaagiza kilimanjaro

Muhudumu akasema naomba hela nikawa na mtazama alie niita pale alipe mimi mfukoni nina buku 5 tu akasema lipa wakati yeye kaagiza kilimanjaro nne nikamwambia muhudumu lete vinywaji naingia ATM hapo kutoa pesa

Mpaka sasaivi sijaludi tena pale juliana na nishafika home hila nimemtumia sms mimi sio rich nina watoto wa dada zangu wananitegemea

Wajuba au nimezingua?
 
2c8b8dee38ec2e09696060aa6977b54d.jpg
 
Mwandiko wa GENTA
 
Nmecheka kchzkak ungemwambia aongeze vinywaji alf angejua mwenyew
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom