Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe tafadhari. nimewauliza mna nunua bei gan wakasema wao wanataka kujua mimi nitawauzia bei gan? hivyo nimeshindwa kujua bei ya kuwaambia nataka nijue ni bei gan mkoan na mpaka kufikisha dar itakuwa bei gan , natanguliza shukrani zangu.naomba msaada sana kwa ajuae