Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Hivi katika sheria zetu tunayo mashtaka kama haya au yanayofanana na haya na nini kinahitajika ili kuyathibitisha?
Nazungumzia kwa mfano, Polisi au chombo chenye mamlaka ya kuchunguza jambo fulani kinapowekewa zengwe kama kufichwa au kudanganywa au kuzugwa ili kutopata ukweli au hata kuzuiwa physically.