Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,818
- 16,321
Mashtaka yaliyowasilishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC dhidi ya mauaji ya kimbari ya watoto na wanawake huko palestina yamepangwa kuanza kusikilizwa rasmi kuanzia tarehe 11 mwezi huu huko Hague Netherlands.
South Afrika ndio nchi iliyofungua kesi hiyo na tayari israeli wamejibu kuwa watapeleka wanasheria wao katika mahakama hiyo ya kimataifa.
Hii imekaa vibaya kwa upande wa Israeli maana yake kuna kila dalili watashindwa hii kesi na hukumu yake itakuwa nzito japo wataipinga lakini itakuwa imeshaingia katika record rasmi. Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Taifa bandia la israeli katika nchi ya wapalestina?
Tusubiri tuone.