Mashosti wanaudhi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashosti wanaudhi jamani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Smile, Nov 12, 2011.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  1- mtu anakupigia simu ila unaongea na simu nyingine na simu inamuonyesha kabisa iyo simu inaongea ila yeye anaendelea kupiga tu anakuharibia maongezi maana simu inakata kata dkk 3 tu unakuta 45 missed calls .. Aya sema basi unachotaka oooh shosti nimefuliaaaa.......................... Mimi bwanako potelea mbali huko2 unamwalika rafiki yako kukaa kwenu siku unataka kuvaa nguo yako flani kumbe chafu amevaa unacheki nyingine tena amevaa nyingine tena amevaa jamani ?+3 mtu anakulilia nikopeshe shosti nakurudisia hela yako jtano,jtano inafika wala humuulizi jtano nyingine unakausha tena jtano nyingine unamuuliza vp anasema oooh nilishasahau nipe wki nikutafutie hela yako.......... Fia mbali huko4unatoka out na mtu tena yeye ndo kapropose kiwanja anaagiza kama hana akili bili ikija anakausha halafu daily ni wa hvo ,,,,,,,tusitafutane leo5 mtu amekuomba mchango wa harusi umemuahidi tar flani hata haijafika kila saa anakupigia simu ...kwani lazima au unanidai? 6 facebook mtu hata humjui anakutumia request anaanzisha chati mtu upo zako bize anaanza kukutukana eti unaringa na nakublock nisikuone tena kwani nilikuita ? Potelea mbali huko...............7 mtu amekutongoza humtaki anaanza kujipendekeza kwa wazazi wako na kuwanunulia zawadi ... achana na mimi 8.................................9...................................................10 mambo chungu mzimawkend njema jf
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nawe pia nakutakia weekend njema. Nalog off
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  vipi kuna shosti unamtumia ujumbe humu nini? nadhani atakuwa amekuelewa, nawe w/end njema
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pOLE! TUTAKU-MISS!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  pole wamekukwaza. Ila nawe hapo namba 2: mpaka leo mnavaliana nguo? Miaka hii? Hata kama umemwalika si aje na kifurushi chake?

  Namba 4: taabu iko wapi? Lipa bili yako then nyuti, anayodaiwa alipe mwenyewe la ajiandae kuosha glass. Next time watu wa namna hiyo wakikualika kataa, akiuliza mwambie huwa anakimbia bili.

  Namba 6: kwa nini unaaccept friend request za watu usowajua?

  Namba 5: hiyo wamezidi, mwingine umemwambia huna kitu lakini atakudai kama aliweka anakuja kuvuna! Wanakera wanaudhi!
   
 6. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Lol Pole sana mamito!
  Km vipi wapotezee mwaya!
  Nakutakia wik end njema!
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio wa humu ila watu wanaudhi
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi pia nashangaa mtu kuvaa nguo za mtu ndo maudhi sasa
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  we waache best hawanioni tena
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watu kana hao unawavalia sura ya ukauzu zaidi ya dagaa
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mambuzi tuu tupa kule
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Smile...
   
 13. E

  Edo JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pole Smile, kwa wa vile ushasema yanayokukera naamini sasa uko poa! Furahia week end yako! smile again.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wewe na shost wako mna umri gani?
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tena nabadilisha na number ya simu
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Smile, umegonga Ikulu..... upo sahii 1-10
  Yana booa!
  Mtu amekopa kwa ahadi ya tarehe badala ya kulipa anabadili na njia sio kwamba hana ila eti shosti una hela zaidi yake.. kama msaada si uombe msaada jamani!!!??!
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  usinikumbushe elia unaniongezea machungu
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Halafu mtu anajifanya amesahau kabisaaaaa
  Mimi kunajamaa alikuwa stranded na mchumba wake, kamtoa mkoani kaishiwa. Nikaokoa jahazi jamaa full maujiko.... dud1 nikimpigia simu nipo Mwanza at the sametime namuona
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Halafu kuna mwingine anabip ukipokea tu anakata simu ... utakuta hata miss call 10. Brrrrrrrr
   
 20. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  na wew waudhi
   
Loading...