Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,479
Reaction score
27,285
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika Buguruni , Wilaya ya Ilala , Dar es salaam ,Je yallikuwa na kibali?

Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ya mwaka 2024, Government Notice 512 of 2024 S. 7(d )https://tanzlii.org/en/akn/tz/act/gn/2024/512/eng@2024-05-21​

Kifungu cha saba ninakinukuu:-
Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo:
(a) .....
(b) eneo linaloombewa kibali cha kufanyia shughuli ya burudani au sherehe linaruhusiwa kwa
shughuli inayoombewa kibali;
(c) kumbi za burudani au sherehe zina usalama wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vifaa
vya kuzima moto, madirisha makubwa ya kuingiza hewa, milango inayofunguka kwa urahisi wakati wa dharura; na
(d) shughuli ya burudani au sherehe haikiuki maadili ya kitanzania

Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika Manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.

#Staki-Nataka
 
Yaani inasikitisha kwa kweli ,mwanamme mzima anaona sawa kuzibuli "SFINTA" kweli hao wamelaaniwa.
Wamelaaniwa, na ni chukizo kwa Mungu na nature. Mashoga ni wimbi baya lenye harakati za kutafuta usawa na kutambulika kwenye jamii na nchi kwa ujumla.

Ni kundi linalojumuisha watu waliopoteza utambulisho wao wa asili, badala yake wanatafuta huruma kwa jamii.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
Kuna LIMJOMBAZIII LIMEJIFUNGA MTANDIO KICHWANI inasemwa limekatwa masikio kisa ushoga ulio kubuhu.. nimeliona linakata kiuno mdogo mdogo

LIMJOMBAZIII lipo ndembe ndembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…