Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

A bunch of ignorants and bigoted jerks in full force!
 
Obama ni mwabudu shetani (Freemasons), hivyo anayoyatenda ndio mapenzi ya huyo anayemtumikia. Uchaguzi ujao atashindwa.
 
Hapo tena umeniacha hoi! ndugu humu ilishawahi kuletwa Thread ya kusiffia Jews ya kuwa wao ni bora kuliko watu wote Duniani na ni mfano wa kuigwa na Wakristo, sasa wewe unawatoa kwenye hesabu ............ haya mambo!

Kombo Waislaeli wana dini yao ya Kiyahudi. Na hiyo dini yao si ya Kikristo. Maana maandishi ya kwenye vitabu vyao vya dini yanafanana na maandiko ya Kiebrania aghalabu huitwa agano la kale kwenye biblia takatifu ambayo hayamtaji Yesu moja kwa moja bali yanataja unabii wa kuzaliwa Masihi Yesu. Wayahudi wanakubaliana na unabii wa kuzaliwa Mesiya, lakini hawakubali kuwa huyu aliyezaliwa na bikira Maria ni Yesu. Wanaamini Yesu bado hajatokea au kwa maana nyingine unabii wa Isaya kuhusiana na kuzaliwa kwa Masihi bado haujatimia. Pia katika imani yao, wenyewe wanawaamini sana Ibrahimu, Isaka na Yakobo na Musa, kitu ambacho si kibaya, maana hata kwa Wakristo wanawaona watu hawa ni wakupigiwa mfano. Lakini ukija kumtaja mtume Petro, Yakobo, Yohana na wengine, wanaweza kukupiga kwa mawe ufe.

Kwa upande mwingine, Maandishi ya Kigiriki (agano jipya katika biblia takatifu) ambayo huzungumzia maisha na huduma ya Yesu alivyokuwa hapa duniani hawayatambui. Wenyewe walimkataa Kristo kama Taifa bila kutafuna maneno yaani peupe au hadharani. Lakini kwa Mwisraeli mmoja mmoja kama atamtambua Kristo hiyo ni swala lingine. Na wapo Waisraeli wakristo.

Hivyo nachelea kusema Waisraeli ni binadamu kama binadamu wengine tu, na wako sawa machoni pa Mwenyezi Mungu kama watu wengine woote.

Ni hayo tu Kombo.
Naomba kuwasilisha.
 

we shoga sikia, kama wewe umechagua kuwa shoga na tusikujue, kwa sababu tutakuhang chizi wewe..ushoga ni laana..hakuna cha kuchagua...ulichagua kuzaliwa wewe chizi au ulijikuta tuu hapa duniani??vile ambavyo hukucg=hagua kuzaliwa ndivyo hivyo huna right ya kuchagua kila kitu..huwezi chagua kuwa shoga kwa sababu alokuumba hakukuumba shoga wee chizi..unashani unaweza fanya unavyotaka??chizi wewe, shoga mkubwa na tutolee mabalaa hapa..
 
Tuangalie kamusi zetu za Kiswahili kama neno Ushoga lina maana ya kujamiiana kati ya mume na mume. Neno halisi lipo la group hili.

achana na mambo ya kamusi wewe chizi..ushoga haukubaliki wee mwehu..kama na wewe ni shoga ujue unavofanya sio..kamusi kamusi hiyo yote kutaka tuu kujustify ushoga wako..mwehu wee..!!
 
mnh kama beberu hapandi beberu,so???... kuna wanyama wengine wanapandana-so hoja yako haina mashiko-uhomosexuality upo hadi kwa wanyama-google that upate majibu.

afu mie ni mpagani,hizo aya hazinihusu..thanks anyway.:teeth:

wee hata sio mpagani wewe ni shoga mwehu wee!!
 

tuondolee ushoga wako humu wee shoga sawa...mwehu wee
 
Mkuu hatari ni kuona wanajeshi mapunga wakiwa vitani,huku mabasha wakiwanyemelea.Kazi kwelikweli!!!

Mwisho wa baadhi falme duniani unakaribia sasa, ******* hawawezi kupigana vita, nchi au falme hio mwisho wake unakuja karibu.
 

Amen!
 

weee punga sikiliza,mashoga walikuwepo kabla hujazaliwa,wapo na wataendelea kuwapo-you cant do a damn thing about it,you are soo stupid ina maana hujawahi kuona mashoga mtaani???mbona hujaenda kuwahang kama una hasira sana???shenzi wewe.....
hio kuzaliwa blah blah baki nayo,kwani dini mtu anazaliwa nayo? si anaikuta na kwa mapenzi yake anaamua kuifuta ama kutoifuata?basi na ushoga ndio hivyo hivyo...jinyonge basi????
 
tuondolee ushoga wako humu wee shoga sawa...mwehu wee



punga wewe naona umekosa la kuongea,na hii laana itakurudia upate watoto magay,ushuhudie kabla hujafa ugay ndani ya damu yako...
 
Nimefarijika sana ndungu yangu, Sisi Waislaam tunawaelewa vizuri Wayahudi pamoja na Imani yao. Tunajua kwa uhakika wapi wamepotoka, kupitia Quran Tukufu, ziko sura na aya mbali mbali zinzowaelezea wao na vituko vyao. Ni wazi wako baadhi ya jamaa zako wanao wachukulia Waisrael vinginevyo, na ndio maana ililetwa Thread na OCTOBER katika JF inayowasifia hao JEWS. Ahsante kwa mchango wako.
 
Watu hawamwogopi Mungu kwa kisingizio cha demokrasia.. hii itatupeleka pabaya sana....
 

hizi aya baada ya muda si mrefu zitachakachuliwa kwa kisingizio cha kiswahili chepesi, new version etc na maana zitabadilika. Walaaniweee!!!
 
If it is two consenting "adult human beings" then it is none of my business....
If its none of your business, siku nduguzo au watoto zako wakija fanya ngono wenyewe kwa wenyewe, au kuwaingilia mbwa utajasema hivyo hivyo... "adult human beings" then it is none of my business...
 
Wateule wa mungu (waisrael) wapo gays? wtf?
Wale si wateule, bali walikuwa wateule, lakini wakaasi. kwa hiyo nao ni kama watu wengine. Soma muhtasari wa imani yao kwenye post 103.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…