Haya matusi sasaHali hii ikiendelea itabidi tuimport wanaume Tanzania.
Kama wanaume wanafanya shughuli zetu inabidi tuimport watakaofanya shughuli za kiume pamoja na kuwa baba wa nyumbaHaya matusi sasa
Kama wanaume wanafanya shughuli zetu inabidi tuimport watakaofanya shughuli za kiume pamoja na kuwa baba wa nyumba
Mnaimport kutoka wapi?Kama wanaume wanafanya shughuli zetu inabidi tuimport watakaofanya shughuli za kiume pamoja na kuwa baba wa nyumba
HahahNdio maana nikija dar mwisho wangu kibamba ccm
Mwanaume haogopi kuja dar.au unaogopa kuwa bottom.?ndo maana dar sipapendi
Kwahali hiyo ndoa hizo tunaenda kanisani kufanya nini
Mwanaume haogopi kuja dar.au unaogopa kuwa bottom.?
Kweli kabisa, na sana ni mikoa ya ukanda wa pwani kama dar, pwani, bagamoyo na tanga.Ndoa za kiislam hizo, wakristo hatuna ujinga huo wa kufundana sijui
Samahan mkuu kwan wew umekua mama wa nyumba lini!?Kama wanaume wanafanya shughuli zetu inabidi tuimport watakaofanya shughuli za kiume pamoja na kuwa baba wa nyumba
Kwanza hao wanaofundwa waliowengi hawajielewi na waliowengi ni familia za uswaz maana haiingii akili mtu hana mume akakufundishe kukuaa na mume.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama wanaume wanafanya shughuli zetu inabidi tuimport watakaofanya shughuli za kiume pamoja na kuwa baba wa nyumba