Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.
Bilal yupi uyo? Mbona wantishaaa
Imekaa poa sana.... Hawa westerners wanataka kutushughulisha na mambo ya kipuuzi huku wanaendelea kutunyonya uchumi. Hata kule marekani na ulaya majority wanapinga huo ushenzi lakini sisi tunatishiwa misaada. Lazima waafrika kujikomboa kiuchumi ama sivyo tutaendelea kudhalilishwa na wanasiasa wa ovyo wa magharibi.
Bob Mugabe ni noma yaani anataka aionje kwanza 0713 ya Obama ndo atoe hiyo fursa Zimbabwe, Afrika tunahitaji viongozi jasiri kama bob na m7, wetu bado yupo kwnye dillema mhhhMugabe kiboko ya Obama!Anataka kwanza kumuoa Obama ili athibitishe kama kweli Obama anapenda hayo makitu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hivi hii bill ipo mpaka nchi za kiarabu au n sisi tu waafrica??wajarbu kupeleka ALgeria waone
Apa tz Kama vipi warihusiwe kuoana ila wapewe mwaka mmoja Mke au Mme aloolewa azae Mtoto wakishindwa wachapwe risasi tu
Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.
Katika hili Predident Museven hata Mbinguni malaika wa bwana wanakushangilia na MUNGU atakulinda kwa kusimamia sheria ya MUNGU inayochukia USHOGA. Kiukweli M7 MUNGU akubariki kwa hili jambo maana umeuonyesha ulimwengu kuwa Ushetwani Africa NO.
Nahisi sijakuelewa, una maanisha watu wa jinsia moja waoane??
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake
Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.
Nakumbuka wakati Obama alipotangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais wa US, Afrika yote iliushangalia ushindi wake na kumuona kama mkombozi wa Afrika na hasa ukanda huu wa Afrika Mashariki iliko asili ya baba yake, kumbe walikuwa wanashangalia kitu wasichokijuwa kwa kuwa upofu wa kijinga uliowajaa kwenye bongo zao na kusahau kwamba Obama ni Mmarekani na yupo pale kwa maslahi ya Wamarekani kwani ameapa atailinda katiba ya Marekani na mambo yote yanayohusu maslah ya Marekani.
SWALI, Je, ingekuwa hiyo Bill kaletewa Baba Rizzy ange-sign?