Mashoga muoeni Mama Obama

Mashoga muoeni Mama Obama

Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.

Bilal yupi uyo? Mbona wantishaaa
 
Imekaa poa sana.... Hawa westerners wanataka kutushughulisha na mambo ya kipuuzi huku wanaendelea kutunyonya uchumi. Hata kule marekani na ulaya majority wanapinga huo ushenzi lakini sisi tunatishiwa misaada. Lazima waafrika kujikomboa kiuchumi ama sivyo tutaendelea kudhalilishwa na wanasiasa wa ovyo wa magharibi.

Hivi hii bill ipo mpaka nchi za kiarabu au n sisi tu waafrica??wajarbu kupeleka ALgeria waone
 
Mugabe kiboko ya Obama!Anataka kwanza kumuoa Obama ili athibitishe kama kweli Obama anapenda hayo makitu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Bob Mugabe ni noma yaani anataka aionje kwanza 0713 ya Obama ndo atoe hiyo fursa Zimbabwe, Afrika tunahitaji viongozi jasiri kama bob na m7, wetu bado yupo kwnye dillema mhhh
 
Mu7 Pamoja Na Viongozi Wengine Wa Afrika Mataifa Mnayoyaongoza Yanarasilimali Nyingi Mno Hivyo Peke Yetu Tunaweza Kuupinga Ujinga Wao Hii Ni Aibu Kwa Watoto Wetu
 
Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.

Hapo ndio huwa nawashaangaa watanzania eti kitu kutamkwa adhalani ndio kinaonekana boonge la kosa wakati mtaani kinaendelea kama kawaida...namaanisha ingawa kwa Tanzania vitendo vya ushoga ni kosa la kijinai ila ni jambo la kawaida sana siku hizi mitaani...utasikia flani wali nazi flani bwabwa..ukiuzulia taarabu au night clubs ndio usiseme yamejaa hayo mashoga..na wanaopenda kuwatumia hao mashoga ndio wanaongezeka days after days lakini hakuna hata mtu anaedhubutu kutoa taarifa kwenye mamlaka husika...na hao wapenda line moja ya 0713 ndio wa kwanza kusema Mu7 hoyee wanyongwe kabisa...huu mi naona ni unafiki tu
 
Katika hili Predident Museven hata Mbinguni malaika wa bwana wanakushangilia na MUNGU atakulinda kwa kusimamia sheria ya MUNGU inayochukia USHOGA. Kiukweli M7 MUNGU akubariki kwa hili jambo maana umeuonyesha ulimwengu kuwa Ushetwani Africa NO.

Katika hili, vitabu vyote vya M/Mungu kuanzia; Taurati, Zaburi, Injili na Furqan(Qur'an) vipo pamoja na Museven, pia na maadili ya kiafrika vipo pamoja naye. Obama yupo na Shetani (Ibilisi). Mungu mlinde M7 kwa hili
 
Nahisi sijakuelewa, una maanisha watu wa jinsia moja waoane??

Namaanisha ivi, ndoa za jinsia moja ziruhusiwe with one strong condition kwamba after a year apatikane mtoto, yani kama mwananume kwa mwanauame wameoana basi mmoja ashike mimba azae wakishindwa risasi za kutosha!!
 
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake
 
Wewe ndiye -------- TENA SHOGA, kwanza hujaelewa mada umekurupuka na matongotongo na kuanza kujibu mada. Maana yako halisi hapa ni kuwa unaunga mkono USHOGA, kwamba eti kwa kuwa Obama ana mke hahitaji kuwa Shoga mjinga na -------- sana wewe na hata shetani anakuogopa kwa ujinga ulionao.
 
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake

Jf -------- ni mmoja tu, uuuuu
 
Wapumbavu ni wengi JF sasa kushabikia mtu aliyeolewa na aliyeoa aolewe na mtu mwenye jinsia yake wakati hajaachika ni akili kweli? kama Obama angekuwa hajaoa kauli ya mugabe ingeonekana yenye akili zaidi na kwa kuwa Obama kaoa basi Mugabe ni Kiongozi kenge zaidi ya Karume na washabiki wake

Kwani na wewe ni miongoni mwao...?
 
Mkuu Bubu Msemaovyo, Obama tayari Mugabe ameshapeleka posa anasubiri majibu tu sasa. Waambie waganda wavute subira kidogo ila kwa kuwa ana asili ya kiislam basi inawezekana na mwanaume wa Uganda akajisevia tu.
 
mashoga ni.wengi sana ni kwa vile hawana ndoa..wanaofanya mapen.zi kinyume na.maumbile nao ni mashoga tu..hisia hizo zinatoka wapi? Mu7 ni mwanaume wa shoka na.viongoz wengine Africa wajifunze kupitia yeye.hata hivyo sijaona nlichofaidika nacho kwa misaada hiyo ya mashoga wanayoileta hapa nchini...
 
Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.

Vibaka hata sheria watu hawataki ifuate mkondo wake, wanachomwa moto hadharani na vibaka wengine hawakomi bado wanakwiba kkoo. Sasa hawa jamaa naomba wakifungwa wawe na jela zao maana kwenye jela zetu hizi ndo wataolewa kabisa. Au tukiwaona tuwachome moto basi. Kuna tatizo kubwa kwenye jamii, kubwa. Tujipange kulitatua pia, sio kupinga kinadhari haitasaidia. Kaanza museveni tunampa pongezi zake, asije kupata m'binyo akaanza kugeukwa na wananchi wake sisi tukafyata. Nadhani Mh Jakaya anaomba muda wake uishe tuu ajiendee, hii ni shida. Wanaoandaa katiba wajipange kabisa, hatutaki upuuzi huu kikatiba, ila haki nyingine za binaadamu, mia.
 
Nakumbuka wakati Obama alipotangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais wa US, Afrika yote iliushangalia ushindi wake na kumuona kama mkombozi wa Afrika na hasa ukanda huu wa Afrika Mashariki iliko asili ya baba yake, kumbe walikuwa wanashangalia kitu wasichokijuwa kwa kuwa upofu wa kijinga uliowajaa kwenye bongo zao na kusahau kwamba Obama ni Mmarekani na yupo pale kwa maslahi ya Wamarekani kwani ameapa atailinda katiba ya Marekani na mambo yote yanayohusu maslah ya Marekani.

Alisema mapema ndugu, kwamba ataruhusu ushoga jeshini, hii ni kwenye kampeni zake na ilimsaidia kwa kiasi fulani kushinda. Sa sijui tulikuwa tunshangulia kama mazuzu au? Na alipokuja bongo tukampokea kwa mbwembwe kama mazuzu pia! Sisi hatujui tunafanya nn ujue au hatujui kinachoendelea, hawa mashetani US na UK ndo wanatuongoza! na viongozi wetu wanalijua hili. Naapa labda Nyerere angekuwepo ndo angepinga na akaheshimika lakini haya maviongizi ya leo mapenda raha na penzi! Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom