Mashoga muoeni Mama Obama

Mashoga muoeni Mama Obama

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,548
Hakuna kitu kinachonikera kama kusikia mtu akishabikia USHOGA, ni jambo la kushangaza sana kuona na kusikia mtu kama Rais Barack Hussein Obama akilazimisha sisi Waafrika tuingie SODOMA NA GOMORA, hakika dhambi hii ni mpya kwa sisi waafrika tusiikubali kamwe. Napenda kumpongeza Rais YOWERI KAGUTA MSEVENI kwa kusaini mswada ule kuwa sheria dhidi ya tabia chafu ya MASHOGA. Heri ufe masikini kuliko kuwa tajiri kupitia ushoga au kwa nchi kupata misaada eti kwa kuunga mkono ushoga.

Kama ingekuwa ni ugonjwa basi wagonjwa hao walitakiwa kutengwa na jamii huku wakipata matibabu hadi wapone na kurudi katika jamii.

Ujumbe kwa Rais Barack H. Obama ni huu, "Kama kweli yuko serious basi amwache mkewe naye ajikite katika USHOGA "Aolewe kwa mwanaume mwenzake" na mkewe naye "aolewe" kwa mwanamke mwenzake, ILI ULIMWENGU UTAMBUE KUWA UNACHOSEMA UNAMAANISHA HIVYO.

Mr. President do not destroy Africa through homosexuality, this is a great sin as Sodoma and Gomora were punished buy Almighty God, please Sir could you enter into that game to mean it, someone in Uganda wants to marry you!!!
 
Mkuu mbona kwenye rituals zao za kishetani huwa wanagongana, huku kwenye maisha ya kawaida wanajifanya watu wema
 
Kwani Haya mambo ya ushoga ameanzisha Obama? Mambo ya ushoga marekani yalianza Hata kabla ya Obama dada yangu unachokiona sasa hv ni mwendelezo wa uchafu wa wamarekani tuu Hamna kigine!!
 
Katika hili Predident Museven hata Mbinguni malaika wa bwana wanakushangilia na MUNGU atakulinda kwa kusimamia sheria ya MUNGU inayochukia USHOGA. Kiukweli M7 MUNGU akubariki kwa hili jambo maana umeuonyesha ulimwengu kuwa Ushetwani Africa NO.
 
Hongera yake M7, hili liwe fundisho kwa nchi za kimagharibi kuleta mambo yasiyofaa kwa jamii zetu eti kigezo cha kupewa misaada, Namkubali Mgabe kumwambia live pia! Viongozi wengine nao walisimamie hili!
 
Kuna kitu mimi huwa najiulizaga sipati majibu.Kwa Tz ushoga ni kosa kisheria,ila mbona kuna mashoga maarufu kina Bilal na wengine wengi wanajulikana lakini hakuna hatua yeyote dhidi yao inayochukuliwa?
Mimi naona hiyo sheria haisaidii lolote ktk kudhibiti huu ufirauni.
 
hii inatakiwa itekelezwe kama huko Uganda wanakuchoma live!
 
aaaaah si raia wa kenya huyu

si mwafrika mwenzetu huyu

aahh mwanaafrika mashariki mwenzetu

kuna watu wakasema atatokea bongo.

si walijua atatubeba waafrica

unataka kuka bila kuliwa
 
Hakuna kitu kinachonikera kama kusikia mtu akishabikia USHOGA, ni jambo la kushangaza sana kuona na kusikia mtu kama Rais Barack Hussein Obama akilazimisha sisi Waafrika tuingie SODOMA NA GOMORA, hakika dhambi hii ni mpya kwa sisi waafrika tusiikubali kamwe. Napenda kumpongeza Rais YOWERI KAGUTA MSEVENI kwa kusaini mswada ule kuwa sheria dhidi ya tabia chafu ya MASHOGA. Heri ufe masikini kuliko kuwa tajiri kupitia ushoga au kwa nchi kupata misaada eti kwa kuunga mkono ushoga.

Kama ingekuwa ni ugonjwa basi wagonjwa hao walitakiwa kutengwa na jamii huku wakipata matibabu hadi wapone na kurudi katika jamii.

Ujumbe kwa Rais Barack H. Obama ni huu, "Kama kweli yuko serious basi amwache mkewe naye ajikite katika USHOGA "Aolewe kwa mwanaume mwenzake" na mkewe naye "aolewe" kwa mwanamke mwenzake, ILI ULIMWENGU UTAMBUE KUWA UNACHOSEMA UNAMAANISHA HIVYO.

Mr. President do not destroy Africa through homosexuality, this is a great sin as Sodoma and Gomora were punished buy Almighty God, please Sir could you enter into that game to mean it, someone in Uganda wants to marry you!!!
Imekaa poa sana.... Hawa westerners wanataka kutushughulisha na mambo ya kipuuzi huku wanaendelea kutunyonya uchumi. Hata kule marekani na ulaya majority wanapinga huo ushenzi lakini sisi tunatishiwa misaada. Lazima waafrika kujikomboa kiuchumi ama sivyo tutaendelea kudhalilishwa na wanasiasa wa ovyo wa magharibi.
 
Apa tz Kama vipi warihusiwe kuoana ila wapewe mwaka mmoja Mke au Mme aloolewa azae Mtoto wakishindwa wachapwe risasi tu
 
Nakumbuka wakati Obama alipotangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais wa US, Afrika yote iliushangalia ushindi wake na kumuona kama mkombozi wa Afrika na hasa ukanda huu wa Afrika Mashariki iliko asili ya baba yake, kumbe walikuwa wanashangalia kitu wasichokijuwa kwa kuwa upofu wa kijinga uliowajaa kwenye bongo zao na kusahau kwamba Obama ni Mmarekani na yupo pale kwa maslahi ya Wamarekani kwani ameapa atailinda katiba ya Marekani na mambo yote yanayohusu maslah ya Marekani.
 
Back
Top Bottom