Mashoga kuhesabiwa kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga kuhesabiwa kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Kimbweka, Oct 29, 2009.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kituko kingine kimeibuka hapo kenya kwa kudhamiria kufanya sensa ya wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao (mashoga) ili kupunguza maambukizo ya ukimwi! Hapa tanzania vipi haya ma-shangazi nayo yahesabiwe au vipi duh lakini ni aibu sanaaa....
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Laana gani hii
   
 3. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Sio aibu, these are important stats especially for health purposes, we cant keep sweeping these issues under the carpet, this group has 5 times more risk of getting HIV than the rest of us, dont you think its important we know the exact number? Its obvious that people are doing it, and there are alot of bisexuals in our midst, its good we get a number rather than guess figures.
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hii aibu kwani Serikali ikikubali hivyo tu basi kitendo hiko kina support 100% please Serikali msikubali haya mambo ya kuiga yatatutokea puani. TUSIJARIBU HATA KIDOGO KUHESABU HAWA MA ANT POA
   
 5. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Waache wawahesabu mashoga wao. Nina uhakika wataanzia Mombasa.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,272
  Likes Received: 19,414
  Trophy Points: 280
  vipi bongo watawahesabu??
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  wameanza kuona hawa sasa wanahesabiwa kesho na keshokutwa tutasikia wamekubali kuruhusu ndoa hizo.
   
 8. D

  Darwin JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wanaojinyesha ushoga wao pengine sensa itasaidia.
  Je wale walioko mafichoni watawajua vipi?

  Au wanaume wote wa Kenya watavuliwa nguo nakuangaliwa sehemu zao za siri?
   
 9. D

  Darwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa maana hio kwa vile Afrika ina HIV+ wengi basi afrika inaongoza kwa mashoga.
   
 10. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  hahaha
   
 11. John Cannor

  John Cannor JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 1,471
  Likes Received: 1,800
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuta idadi ya mashoga ni kubwa kulinganisha na wale wasio mashoga aka machoko.
  Laanatullah!
   
 12. John Cannor

  John Cannor JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 1,471
  Likes Received: 1,800
  Trophy Points: 280
  Hivi na wale mabasha wanaowabandua wenzao na wao wanaingizwa kwenye chart? je nao watajitokeza..?
  Waanze na serikalini vitengo nyeti.
   
 13. Tony antony

  Tony antony JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2016
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 4,644
  Likes Received: 2,233
  Trophy Points: 280
  tukifanya hiyo sensa huku ujue tunahesabu tuchimbe makaburi yao mangapi maana tutawanyonga tu............
   
Loading...