Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

Rais=36M
PM= 26M
VP = 32M
Mawaziri=16M
Makatibu wakuu=15M
Hapo vipi?

Wakati huohuo Rais, PM na VP wakistaafu wanakula 80% ya mshahara wa rais wa wakati huo (ambao unapanda kila siku) hadi anaingia kaburini wakiti CEO wa kampuni akistaafu ndo basi: Hivi hao viongozi e. g VP ana kazi gani nchini ama ni kutoa tu matamko na kuhudhuria hafla?
Baada ya kuona umedanganya mshahara wa katibu mkuu...
Napata mashaka na data hizo nyingine...
Katibu mkuu hana huo mshahara...muandike mkiwa na data za ukweli
 
Rais=36M
PM= 26M
VP = 32M
Mawaziri=16M
Makatibu wakuu=15M
Hapo vipi?

Wakati huohuo Rais, PM na VP wakistaafu wanakula 80% ya mshahara wa rais, VP na PM wa wakati huo (ambao unapanda kila siku) hadi anaingia kaburini wakiti CEO wa kampuni akistaafu ndo basi: Hivi hao viongozi e. g VP ana kazi gani nchini ama ni kutoa tu matamko na kuhudhuria hafla?
Unalinganisha Rais na Mkuu wa taasisi
 
Mi nina hakika, hawezi kuuacha mshahara wake kama ulivyo.
Lazima atapunguza kiasi. Huyu jamaa anaonekana kabisa anan nia na nchi hii...
Hasahasa baada ya kunyimwa ule msaada huyu jamaa atakuwa mkali sana.

Kwani mshahara wa rais ni kiasi gani?
 
Sasa wote tukiwa masikini atakaye msaidia mwenzake nani? Tatizo waBongo tuna roho ya kwanini, kijicho na kuoneana wivu. Ndio maana nchi hii ngozi nyeupe ndiyo itabaki kuwa kizazi tajiri huku kizazi cha Mwafrika kikibaki kwenye lindi la umaskini... Tunapenda kuzibiana kila opportunity ndio maana wengine wanaendewa kwa waganga...
 
Suala siyo la wote kuwa maskini.

Suala ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.

Utumishi wa umma katika nchi fukara kama yetu usiwe sehemu ya kujineemesha kupitia migongo ya pesa za hao watu maskini.
 
Mishahara ya wakuu wa taasisi zifuatazo ni zaidi ya kufuru..... Hapa ndipo panga la Rais Magufuli linashuka kwa ukali wote

NHC..... 36M
EWURA..... 36M
NSSF......... 36M
TANESCO.... 36M
BOT............. 24M

Asante Rais Magufuli. Tumenyonywa vya kutosha!
View attachment 333625
Hii mishahara si tatizo kama wanazalisha inavyostahili,tatizo ni kukosekana kwa uwiano wa mishahara kati ya yule wa kiwango cha juu na yule wa kiwango cha chini.Maguu anachofanya kitasababisha wataalam wa kizawa kukimbilia sehemu nyingine zenye maslahi zaid.Naanza pata wasiwasi tunakoelekea yanaweza yakatokea ya Nyerere kupanga foleni kununua bidhaa.Hivi Magu anapokea sh Ngapi?
 
rais...............400M
 
Mishahara ya wakuu wa taasisi zifuatazo ni zaidi ya kufuru..... Hapa ndipo panga la Rais Magufuli linashuka kwa ukali wote

NHC..... 36M
EWURA..... 36M
NSSF......... 36M
TANESCO.... 36M
BOT............. 24M

Asante Rais Magufuli. Tumenyonywa vya kutosha!
View attachment 333625
halafu ceo's wa mashirika hayo wanapiga foleni hazina kupewa hela ya mishahara ya wafanyakazi. wengi tulipigwa na butwaa kuambiwa bandari wanafoleni hazina kupewa hela ya mshahara.
 
Kuna harufu ya Wivu hapa!
Wivu mkubwa sana.

Mambo ya sijui nchi masikini sijui mishahara mikubwa hayo hayana nafasi, sijui kue na uzalendo hayo hayana nafasi.

Mfano kuna mtanzania juzi nimeona kachaguliwa kua makamo wa rais wa african development bank,yule mnataka akiombwa aje kua gavana mumlipe milioni 5,hakuna taahira atakaekubali hayo.

Wakurugenzi wengi wa mashirika ya umma wameombwa kuja kua wakuu,huko walikua wanalipwa mpunga mrefu alafu mnataka wakija tz wakubali kulipwa kidogo,uzalendo uliisha enzi za nyerere.

Hakuna mjinga atakubali hayo,watu wana wivu na hiyo mishahara lakini hakuna atakaepewa huo mshahara akaukataa,hata rais analipwa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka na hajaukataa huo mshahara.

Watu waache wivu,punguza mishahara ila tegemea wizi na mikataba mibovu,enzi za nyerere yalikua hayo na nchi ilimshinda.
 
Back
Top Bottom