Siku hizi n ngumu sana kupatikana....bora CRDB ina nafuuu kuipata kuliko NMBHabari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Kweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sanaKampuni zote zinahama kwenda application.
Tujifunze kuhama
Inabidi mzoee tu maana hizo mashine wataanza ziphase out mdogomdogoKweli ila application zinazingua balaaa +wateja kugoma unakuta unapokea kamisheni ndogo sana