Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,193
- 1,388
- Thread starter
- #261
Mkuu as long as demand ya tofali ipo ,changamoto zote zinakua hazina maana.Ila kwa ninaowajua wanaofanya shughuli za/ya namna hiyo tayari wako vizuri kiuchumi (wana fedha na. Vyanzo vinginevyo vya mapato) ukikurupukia unaumia
Dar hapa watu wanahitaji tofali sana/wanajenga sana