Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
- Thread starter
- #241
Piga simu 0740374705
Kimbembe ni pesa za uendeshaji maana unahitaji mifuko mingi sana ya saruji na mchanga ni ghali…, vilevile zipatikane pesa za kuwalipa vijana wanaosimamia zoezi zima la uzalishaji, walinzi na chakula kila siku bila kusahau Umeme.Hii ndiyo miradi yetu wastaafu
Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2
Hadi pension itoke, unakuwa haujafa na njaa
Na nafkiri si gari moja na iwe yenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na mafuta ya kutoshaUsifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mteja
Inategemeana unataka kuaza kwa ukubwa gani na uko wapi.Kimbembe ni pesa za uendeshaji maana unahitaji mifuko mingi sana ya saruji na mchanga ni ghali…, vilevile zipatikane pesa za kuwalipa vijana wanaosimamia zoezi zima la uzalishaji, walinzi na chakula kila siku bila kusahau Umeme.
Mtu akisoma hii comment anaweza asitamani kufanya hii biashara kabisa😂😂Na nafkiri si gari moja na iwe yenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na mafuta ya kutosha
Ni kweli Mkuu, ila muhimu kujipangaKimbembe ni pesa za uendeshaji maana unahitaji mifuko mingi sana ya saruji na mchanga ni ghali…, vilevile zipatikane pesa za kuwalipa vijana wanaosimamia zoezi zima la uzalishaji, walinzi na chakula kila siku bila kusahau Umeme.
Pamoja mkuuKumbuka kuweka bei kwenye kila picha wengine ni wazee kusahau kupo
Kwa utaalam wako unafkiri unahitajika kama mtaji wa kiasi gani kuanzisha kakiwanda kadogo ka-namna hiyo?Ni kweli Mkuu, ila muhimu kujipanga
Huu ni uwekezaji ujue
Ila kwa ninaowajua wanaofanya shughuli za/ya namna hiyo tayari wako vizuri kiuchumi (wana fedha na. Vyanzo vinginevyo vya mapato) ukikurupukia unaumiaMtu akisoma hii comment anaweza asitamani kufanya hii biashara kabisa😂😂