Mashine za tofali thread!

Mashine za tofali thread!

Mashine ya tofali moja ni 2.4M
Mixer 4M
Total 6.4M
6FB87AD2-5119-4F00-9560-545D10FC9779.jpeg
 
Ulishindwa kutafuta ujanani?acha mzaha
Unajua sisi tuliostaafu zamani utumishi, wengi tuliishia kustaafu na mshahara wa 36,800

Hizo milioni tumekuja kuzisikia wa Wajukuu zetu tu 😜
 
Hapo Nina miaka 3.🏃🏃
Mungu ni mwema bado tunaendelea kutumia pumzi yake 🙏🙏

Kila la heri kwenye mapambano yako ya maisha, umri ulionao ni wa kufanya kazi Kwa bidii huku ukijitahidi kuwekeza na kutunza akiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom