Mashine za kuweka Token/coins

kyatamato

JF-Expert Member
May 14, 2015
387
269
Nisaidieni hapa kuhusu hizi machine za wachina za kudumbikiza token/coins .. mfano ukidumbukiza coin ya mia mbili unakuta inatoa Tsh. 30,000/- .. ila me nikiweka coin za Tsh. 2,000/- Naweza ambulia sh.. 600 au nikatoka kapa .. je hapo kuna setting ya machine au?? au nifanyeje na Mimi niweze kuikomba hii machine ya mchina??
nitashukuru kwa msaada..
 
mbona kimya??

Ahahha duh kama ni hivyo jiunge na makampuni ya kubet...

Ila sometimes kama ni casino unaweza kuchezewa mchezo watu wanakucheki kwenye hidden cam afu nyuma ya oazia wanafanya yao...
 
Nisaidieni hapa kuhusu hizi machine za wachina za kudumbikiza token/coins .. mfano ukidumbukiza coin ya mia mbili unakuta inatoa Tsh. 30,000/- .. ila me nikiweka coin za Tsh. 2,000/- Naweza ambulia sh.. 600 au nikatoka kapa .. je hapo kuna setting ya machine au?? au nifanyeje na Mimi niweze kuikomba hii machine ya mchina??
nitashukuru kwa msaada..

mkuu ukitaka kula we weka coin hata za 2500 au 3000 halafu weka kwenye simba 2, nyati 1,chui 1, chita 1 , dubu 2, nyani 2, na twiga 2 halafu zungusha uone kama haijatema hata coin 100 ila kwenye tembo sikushauri uweke manake hapo ni nadra sana kupabahatisha.
 
Wewe umeweka au unamshawishi mwenzako tu,hivi ingekuwa ni rahisi kama hivyo watu si tungeshinda bar na kazi tungeacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom