Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Wapo Wachina ila ni ghali sana bora mara mia kuagiza mwenyewe, Hata Kenya zipo nyingi tu ila nilijarubu kucheki bei zipo juu na Bei ziko juu kwa sababu wanaagiza kutoka China so nilazima na wao wauze bei fulani ili kupata Fiada, Incubators ya Mayai 880 kwa kenya ni 1,900,000 wakati ya aina hiyo kuagiza moja kwa moja na ghalama z bandarini inaweza angukuia 1,200,000

Ila zinazo Tengenezwa Bongo hazifai kabisa na kama zile za mafuta ya taa ndo kabisa, Ila kwa china zipo za mafuta ya taa ila ni ghali vibaya mno,

Na mara nyingi Incubators za mafuta ya taa ni Manual operation wakati za Umeme ni automatic, na uzuri wa automatic kama una uhakika na umeme unaweza seti time ya mayai kujigeuza then ukaenda zako kufanya shughuli zako, ila kwa mashine ambayo ni manual hautakiwi kubandua mguu hapo

ILA KWA ANAYE TAKA MIMI NA MPATIA ADRESS YA WACHINA FULANI WANAKUTUMIA MAKE TUNAFAHAMIANA NA NO USANII,

Kiongoz Mambo vipi! Naomba uniunganishe na hao wadau wako waliopo China!
 
Kiongoz Mambo vipi! Naomba uniunganishe na hao wadau wako waliopo China!
boss check na huyu dada +86 15275709648 whatsapp anaitwa andy ana deal na hivyo vitu na mimi nimenunua kwake just mwambie umepata namba toka kwa Lusajo she will help you
FASF5869 (42).JPG
 
Habari wakuu nina incubator yangu imekufa kwenye hiyo sehemu ya controller , nauliza kama vinapatikana vingine vya kureplace tanzania hii ...au ndio nihesabu imeisha nifia moja kwa moja
Screenshot_20190905-165435_Chrome~2.jpeg
 
kwa uzoefu wangu machine nyingi zinazngua na kulea kifaranga hadi kifike 3 weeks bonge la noma
 
Habari za majukumu,
Mimi pia nakaribua kujitosa katika ufugaji si muda,ila nina swali,nalo ni nili hii incubarator hutumia siku ngapi kawaida hadi kutotoa tayari?
 
Naomba jawabu. Nafuga kuku wa kienyeji. Kuna kuku kataga mayai 10, baada ya kutaga alianza kuyaatamia. Kaatamia karibia wiki mbili tu halafu kaacha kuatamia hayo mayai. Tatizo nin?
 
Natamani kufuga kuku wa kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI
Mbona vifaranga wa kuku wa kienyeji wapo tu wakutosha, kwanini uhangaike na kitotoleshi?, unao utaalam wa kusimamia utotoleshaji?, . Nikupe uzoefu wa bure: wako watu wengi wenye hizo incubator na hawazitumii kwa kuwa kuisimamia inahitaji darasa la kutosha
 
Pia za Italy n nzuri sana
Nimejaribu kufuatilia hizo machine kwa muda mrefu sana. tatizo kubwa ya mashine za hapa bongo na china zina uwezo mdogo sana wa kuangua. sido kuna machine za Imberuzi lakini nina reference ya machine zao zaidi ya nne hazifanyi kazi na wahusika hawatoi msaada wowote. kuna kampuni moja ya south africa wana machine nzuri sana. ingawa bei ipo juu lakini hutajuta kuchukua machine zao zina brandname ya surehatch. jaribu kuzitafuta kama ukishindwa ni pm niweze kukusaidia.
 
Nina kuku makoo 5 na jogoo wawili ila nina plan ya kununua incubator ili niweze kuongeza uzao kwa haraka na uhakika maana kuna kipindi walitaga mayai mengi ila wakayatotoa machache, je kuna kununua incubator kunaweza kutatua tatizo na kufikia lengo kwa haraka??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom