Mashine za ATM tawi la NMB Ifakara hazitoi fedha

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
1,252
Reaction score
408
Jamani wanabodi, leo kuanzia saa 9:00 alasiri mashine za ATM tawi la NMB ifakara hazitoi fedha yaani hazija wekewa fedha ili hali leo ni weekend ya mwisho wa mwezi watumishi wanaofanya kazi mbali na hapa ifakara wamefunga safari kuja kufuata mishahara yao, leo watalazimika kulala hapa mjini ili wapate huduma hii kesho. Jambo linalo tushangaza hali hii imeanza kujitokeza baada ya kuja huyu meneja mvivu mbona aliye kuwepo mara ya kwanza na bahati mbaya Mungu akamwita hali hii haikuwa inatokea?R.I,P meneja wetu hodari.

Haya ni maudhi na kero kwa wateja ni bora ajira mpya wanao fungua akaunti zao CRDB.
 
Jamani wanabodi, leo kuanzia saa 9:00 alasiri mashine za ATM tawi la NMB ifakara hazitoi fedha yaani hazija wekewa fedha ili hali leo ni weekend ya mwisho wa mwezi watumishi wanaofanya kazi mbali na hapa ifakara wamefunga safari kuja kufuata mishahara yao, leo watalazimika kulala hapa mjini ili wapate huduma hii kesho. Jambo linalo tushangaza hali hii imeanza kujitokeza baada ya kuja huyu meneja kilaza mbona aliye kuwepo mara ya kwanza na bahati mbaya Mungu akamwita hali hii haikuwa inatokea?R.I,P meneja wetu hodari. Haya ni maudhi na kero kwa wateja ni bora ajira mpya wanao fungua akaunti zao CRDB.
hv haiwezkan huanzisha system ambayo itasaidia wa2 kupokea mishahar yao kuptia Tigo pesa na M-pesa,,,??
naihc itaxaidia kuondoa usumbuf,
 
Unaweza kuhamisha mshahara wako kwenda mpesa kwa kutumia nmb mobile. Nawasha wanaorundikana benki
 
Hizi thread za kipuuzi bado zipo
Technology imekuwa Sana now adays toa pesa ukiwa Kwako na kuweka kuwekewa kwa simbanking au M pesa tigo pesa airtel money kwa haraka zaidi kupata statement salio now fasta on mobile
 
Jamani wanabodi, leo kuanzia saa 9:00 alasiri mashine za ATM tawi la NMB ifakara hazitoi fedha yaani hazija wekewa fedha ili hali leo ni weekend ya mwisho wa mwezi watumishi wanaofanya kazi mbali na hapa ifakara wamefunga safari kuja kufuata mishahara yao, leo watalazimika kulala hapa mjini ili wapate huduma hii kesho. Jambo linalo tushangaza hali hii imeanza kujitokeza baada ya kuja huyu meneja kilaza mbona aliye kuwepo mara ya kwanza na bahati mbaya Mungu akamwita hali hii haikuwa inatokea?R.I,P meneja wetu hodari. Haya ni maudhi na kero kwa wateja ni bora ajira mpya wanao fungua akaunti zao CRDB.

Mkuu unasikitisha sana, kwa wakati huu kulalamika ATM haina hela wakati hata ukiwa kwako Unaweza kufanya chochote na account yako na mambo yakaenda, au umeamua tu kuja kushangaa hapo bank
 
Jamani watanzania wenzangu hasa wana JF, tunapotaka kuchangia hoja NAOMBA SANA tufikirie mara mbili na tusitoe majibu ya hovyo hovyo. Hapa hoja ni kuwa ATM HAZINA FEDHA... nyie mnakuja na majibu mepesi ya ku-support meneja mzembe ambae haoni umuhimu wa kuweka fedha kwenye ATM. Du nimechoka kabisa
 
Nimewahi kutumia huduma hii nikaenda M pesa ikaonyesha fedha haijafika ukienda NMB wanakuambia jaza fomu baada ya mwezi unapata ujumbe kuwa mwamala umekamilika. Halafu wewe ulisha ona Tanganyika masagati ukaona kuna Mpesa au tigo pesa? Usigeneralize mambo swala ni ATM HAZIFANYI KAZI full stop sasa kama huduma imehamishiwa M pesa basi waondoe hizo ATM
 
Jamani watanzania wenzangu hasa wana JF, tunapotaka kuchangia hoja NAOMBA SANA tufikirie mara mbili na tusitoe majibu ya hovyo hovyo. Hapa hoja ni kuwa ATM HAZINA FEDHA... nyie mnakuja na majibu mepesi ya ku-support meneja mzembe ambae haoni umuhimu wa kuweka fedha kwenye ATM. Du nimechoka kabisa

Tatizo kama limetokea sii kumlaumu tu Mshauri kwanza . Siku zinatofautiana na matumizi ya ATM yanatofautiana kutoka kipindi hadi kipindi. ATM haiwezi kuwekwa hela bila utaratibu , kuna taratibu ambazo zinatawala .
Je wewe hajawahi Kukosea?
 
Nimetoa pesa NMB mobile kwenda Mpesa mpaka kufika ilichuka masaa matatu.
 
Taratibu hawa jamaa wanabadilika.Hapa kwetu Babati baada ya ufunguzi wa Tawi la CRDB jamaa wamesanda.wanaweka hela Atm tatu kwa mpigo hiyo nimeona leo,CHEZEA ushindani wewe!!
 
Tatizo kama limetokea sii kumlaumu tu Mshauri kwanza . Siku zinatofautiana na matumizi ya ATM yanatofautiana kutoka kipindi hadi kipindi. ATM haiwezi kuwekwa hela bila utaratibu , kuna taratibu ambazo zinatawala .
Je wewe hajawahi Kukosea?

Nimewahi kukosea... na huwa nakiri napokosea. Hilo la eti ''ATM haiwezi kuwekwa hela bila utaratibu'' ni jibu lililozoeleka Tanzania ... kuficha uzembe. BTW kwani mimi nimesema hiyo ATM iwekwe fedha bila utaratibu? Utaratibu ufuatwe LAKINI kisiwe kizingizio. Tukubali tu kuna uzembe hapa. Na KUHUSU KUMSHAURI... mimi siwezi kushauri watu wakimbie sehemu wanazoona kuna uzembe... njia sahihi ni kuondoa ule uzembe
 
Hizi thread za kipuuzi bado zipo
Technology imekuwa Sana now adays toa pesa ukiwa Kwako na kuweka kuwekewa kwa simbanking au M pesa tigo pesa airtel money kwa haraka zaidi kupata statement salio now fasta on mobile

Dogo sio za kipuuzi hizi, mi mshahara wa mwezi huu niliupeleka tigo pesa nikaupata baada ya siku nane tena baada ya kurudishwa kwenye akaunti nmb.
 
Kuna jamaa alitoa CRDB M pesa ... pesa akaipata baada ya siku 7!

Acheni kudanganya watu!
 
Waalimu tuna mbwembwe sana,kwa mwezi tunakwenda atm mara moja lakini malalamiko kibao

Bado una mawazo ya kijima sana. Kwako wewe mteja wa kusikilizwa ni yule anayelipa zaidi. Halafu watu kama ninyi ndio mnaajiriwa customer care za Bongo. Haishangazi watu wanapendelea kuajiri wakenya na watu wa mataifa mengine hapa Tanznaia
 
Back
Top Bottom