INAUZWA Mashine ya pressure washer inauzwa!!!!...

MkamaShapu

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
317
169
Ni mashine aina ya Boss!!

Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo)

Nakupa na vifaa vyote

Bei 350,000/=
Mazungumzo yapo!!

Sababu ya kuuza!!

Kijiwe kimekufa na sina mpango wa kuanzisha kijiwe kingine!!!...,

Napatikana Mburahati kigogo!!

Mawasiliano 0653 722605
IMG_9629.JPG
IMG_9624.JPG
 
Sio muda mrefu hata mwezi sijamaliza maana hata ile oil niliyonunulia sijabadilisha!!..
 
Mkamashapu nakumbuka alikuwa askari mmoja matata sana, ndiye wewe?
 
Back
Top Bottom