Mashine ya kunyanyulia manyonyo

nilifikiri mnanyanyua ili mpendeze kumbe mnataka kuwavutia wanaume...
 
cartura...... moja ya sababu ya mwanamke kupendeza ni kumvutia mwanaume lol.
 
Kwani wewe titi zako zimeisha lala, lalaga...au ziko kinondoni bado zina nondo.

Inua titi zinaweza kutuvutia :cool2:
 
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............

yanyanyue kwa sidiria.............................khalafu akitaka yaliyolala atakutana nayo kitandani tu...............
 
Kwani wewe titi zako zimeisha lala, lalaga...au ziko kinondoni bado zina nondo.

Inua titi zinaweza kutuvutia :cool2:

majibu tayeri kesha kupa................washtuke wasiyainue kwa sababu tayari yamekwisha lala usingizi mwororo..........
 
cartura...... moja ya sababu ya mwanamke kupendeza ni kumvutia mwanaume lol.

hivyo eeh... but tatizo ni kwamba wanaume nao wanapendezwa na vitu tofauti; mwingine anapenda ubaki natural tu wakati wewe umefanya juhudi kubwa kuvaa wigi, kope za bandia, mkorogo, kucha za bandia, boob-job etc
 
kitu kinapigwa jerk kinakuwa saa sita. na mashine ipo karakoo tayari mtaa wa sikukuu na mafia.
 
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............

Yaliyolala nayapenda sana!Yana joto sana,huleta hamu ya ku..do upesi!
 
Kwa nini shughuli nyingi zinaelekezwa kwenye bodi ya gari: tengeneza na kurekebisha boot, shughulikia matairi, rekebisha na hangaikia taa za mbele na nyuma, paka gari lote rangi nzuri nk lakini hakuna mahangaiko kuhusu injini ya gari? Au ukishapima oil basi, hakuna cha zaidi?
 
....ivi yakishalala..... yanaweza nyanyuliwa....
...na kumbe mwayanyua kwa ajili ya Mvuto kwa wanaume....
...thank GOD...im "ME"
 
kwa kweli wachina noma.niliiona hiyo mashine,wacha nicheke.ziwa linyanyuka kwa muda tu,baadae linarudi vile vile.ipo nyengine ya kunyanyua nanililu ya kike.hapo hapo inaumuka kama iliyotiwa hamira.kazi ipo
 
Back
Top Bottom