Mashine automatic zote zinatumia umeme na mashine Bora za kuangulia mayai ni lazima zinatumia umeme au Solar hivyo hakuna tofauti kati ya mashine ya umeme na ya solar. Ila za mafuta ya taa au ges maana yake ni manualy make controler panel haiwez endeswa kwa mafuta au ges ila umeme tu
Ingia ktk page ya MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES,FSCEBOOK,sisi ni wataalamu wa kuunda mashine aina zote za kutotoleshea mayai ya kuku.
Mashine za mafuta ya taa zipo,na zinatotolesha vizuri sana.kuna mamia ya watu wamenunua na wanazifurahia sana.karibu sana sisi ni kampuni ya uhakika tunaunda na mashine za umeme,manual,automatic nk.na hatching yake ni zaidi ya asilimia tisini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.