user1787121877
New Member
- Aug 19, 2026
- 1
- 5
Karibuni mayai kwa bei ya jumla 0762619824
Bei gani?Kwa bei iyo mm hapana hapo bado usafiri tena.
Kazi ni kipimo cha utu
Njoo nikupe mayai yangu ya asili bure kabisa 😎Bei gani?
Lete nikampe mbwa wangu ale😅Njoo nikupe mayai yangu ya asili bure kabisa 😎
Ya mbwa😆Mayai ya kenge?
Ya gallow birdHauko serious! Hata hujasema ni mayai ya nini au aina gani
Ya bata mzinga au?Trey moja ni 30,000
Taarifa haijitoshelezi Mkuu,,Karibuni mayai kwa bei ya jumla 0762619824
Lete nikampe mbwa wangu ale😅
You mwenyew sasa🤣