Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,088 Jan 17, 2013 #21 Wa kusoma said: Anaitwa Mwakipesile kama sijakosea yuko busy sana na matamasha hlf anajifanya ni repoter wa baadhi ya vituo vya redio kimsingi jamaa anapiga domo sana kwa mkuu wa mkoa anaingia kama kwake lkn hana cheo chochote Mbeya. Click to expand... Ndio Mkuu anaitwa Charles Mwakipesile kwa kweli jamaa ana kipaji cha kuongea na kujipendekeza. nimemkubali kwa hilo.
Wa kusoma said: Anaitwa Mwakipesile kama sijakosea yuko busy sana na matamasha hlf anajifanya ni repoter wa baadhi ya vituo vya redio kimsingi jamaa anapiga domo sana kwa mkuu wa mkoa anaingia kama kwake lkn hana cheo chochote Mbeya. Click to expand... Ndio Mkuu anaitwa Charles Mwakipesile kwa kweli jamaa ana kipaji cha kuongea na kujipendekeza. nimemkubali kwa hilo.
molely molly JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 317 Reaction score 30 Jan 17, 2013 #22 mgeni huyo kumlea kazii!