Mashindano ya ubora wa bangi

Cha Moro lazima kichwa kigonge na cha tabora lazima usikie njaa.
Arusha wamejitahidi unakuwa uko HIGH ila twende mbele turud nyuma kitu cha Malawi ni kwere.
Nashkuru sasa hivi nimeacha kula Mmea nimeelekea kwa Yesu

Malawi ndio baba lao, wengine wote wanangoja.
 
Tena kitu cha uko ni khatri cha kijaniiiiiii hadi raha
Kama wakishindanisha wakulma wa hayo makitu kwa hapa kwetu Malya wa Arusha atashinda maana yeye jani lake linadatisha mbayaaaa

Bora tufanye biashara ya hiyo makitu maana inalipa balaa
Aiseee chariii angu Mafikizolo , kama vipi itabidi tumuombe mkuu Zinduna aweze kukiwasilsha kwenye shindano kwania anajua eneo na tarehe ya shindano au waonaje? au tukipulize wenyewe?

Balaaaa
Moro nini bwana; kipo cha RUKOKORA Arusha hicho........
Tena cha kijaniiiii
Kitu kimekulia kwenye volcanic soil... Lazima ulale juu ya paa ukidhani uko kitandani

Ahahahaha wee balaa adi cha malawi wakijua lol, ila hata hiyo kwenye Avatar yako nacho kikopoa au wee wasemaje MeinKempf
Cha Moro lazima kichwa kigonge na cha tabora lazima usikie njaa.
Arusha wamejitahidi unakuwa uko HIGH ila twende mbele turud nyuma kitu cha Malawi ni kwere.
Nashkuru sasa hivi nimeacha kula Mmea nimeelekea kwa Yesu
 
Last edited by a moderator:
Mtoto koma!...Najua pira limeingia kitaa....mnatafutana.

Watu wa pila ni wapuuzi, ni vibaraka wanaotumika kwa lolote liwalo, hata wenyewe hawajui kwanini wanatumika. Nawaonea huruma...
Puff puff moshi ujinga ukutoke!
 
Uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya
Yako,

Kwa Maelezo zaidi endelea kuvuta
 
Jani limemgeuza my braza kuwa nusu chizi akivuta nyumbani hatulali akiwa hajavuta mpore mpaka huruma, i hate bang i hate wavutaji i hate wauzaji...!
 
Kuna cha Geita kinalimwa milimani nyoka koboko akila mbegu zake utampenda anavyolembua macho kama ya Ray C huku nguvu za kukugonga akiwa hana.
 

Kwa utafiti upi ulifanya mkuu...other drugs yes, but weed [herb] so safe and healthy friendly
 
kimsingi bangi si mbaya ila watu hawajui namna ya kuitumia
hutumika kama mboga
hutumika kama dawa
hutumika kama sacrament ya ibada
hutumika kama burudani (wengi hukosea;hapa kuna taratibu zake)
 
Dar bange kali inapatikana sinza na masaki sijui wanaitoa wapi aisee
moja tu lazima ukae!
 

Nyambaf kabisa!
 
Mjanii wakweli niwachuga ukile sijuwi unaotoka wapi unaweza kula msosi mwingi kinyama alafu inaumiza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…