![]()
![]()
Bonanza la Toyota Tanzania, 25/8/2014
Watajuaje kama kweli ni kina Baba? maana siku hizi wavaaji suruali ni wengi!![]()
![]()
Bonanza la Toyota Tanzania, 25/8/2014
Watajuaje kama kweli ni kina Baba? maana siku hizi wavaaji suruali ni wengi!
Kwa maoni yangu Baba rijali hawezi kujua kukuna nazi! ila anaweza kuivunja akaitoa kilichopo ndani akakata vipande vipande akachanganya na nyanya, vitunguu, nyama au mboga yoyote akachemsha kiasili chapu akatenga watoto wakala na jasho la maridhiko likawatoka na wakameremeta kama watoto wengine. No mbwembwe.
Mwanaume hajifunzi kitu kwa ajili vikorombwezo bali for survival.Hamna mkuu, hayo ni mashindano tu. Ila sio mbaya hata we kujifunza hiyo shughuli.