Ile kauli ya mshan kuwa kaburi halilali mdomowazi hapa haifanyi kazi
Mshana Jr ? Mambo yanabadilika sana zamani watu walikuwa hawakatizi hata makaburini, ila wakati niko primary tulikuwa tunacheza mpira eneo liko makaburini na tunakaa juu ya makaburi yaliyojengewa bila matatizo kabisa na wengine hadi usingizi wanauchapa juu ya kaburi.
Mara nyingi nahisi ni uoga tu wa Mwafrika kuogopa what will never happen.
Ukitaka jua hilo yani na waganga na uchawi wote wa Mnigeria bado mwingereza akamtawala hapo sielewi aisee.