Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Hapo dakika zimeisha na kila mtu kaona. Ni dosari. Ukiibiwa namna hiyo lazima utoke mchezoni.
Watu wanadai Sisco alihujumiwa

Kuna time aliweka kete ngumu Ronaldo akalala kupitiliza muda uliopangwa.

Kamisaa alitakiwa kusimamisha pambano na kumpa ushindi Sisco lakini haikuwa hivyo.

Kama ni kweli basi kwa namna moja Sisco hajatendewa haki japo mi namkubali Ronaldo
View attachment 2735060

Dogo Shuku yupo Manyanya pale ukifika mida ya night utamuona anacheza pool

Ila hapa kuna mafundi wanne waliofika nusu

Kutoka mkono wa kushoto huyo aliyevaa koti la njano ni Sisco, anafuatia Nduli anakuja Noel wa mwisho ni Ronaldo

Ronaldo anatarajiwa kukutana na Noel kesho kwenye fainali baada ya kumtoa Sisco

View attachment 2735096
Haya mashindano yameandaliwa kwa weledi sana.
 
Watu wanadai Sisco alihujumiwa

Kuna time aliweka kete ngumu Ronaldo akalala kupitiliza muda uliopangwa.

Kamisaa alitakiwa kusimamisha pambano na kumpa ushindi Sisco lakini haikuwa hivyo.

Kama ni kweli basi kwa namna moja Sisco hajatendewa haki japo mi namkubali Ronaldo
View attachment 2735060
Kweli kabisa kahujumiwa huyo Sisco.

Kumbe hata kwenye drafti nako kuna hujuma?

Kweli Sisco ni Chuma cha pua.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cr7 kakimbizwa. Kuna sare alitoa kila mtu alishangilia. Walirusha live instagram. Account ya Pascalmwakyando
 
Mashindano yamemalizika kwa Noel kuchukua ubingwa kwa kumfunga Ronaldo goli moja. Msshindi wa pili Cr7. Wa tatu Sisqo ambaye alimfuga nduli goli moja. Nduli wa nne.
 
Back
Top Bottom