Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

fanya hayo maamuzi hujakatazwa nafasi, wakati ndo huu wangoja nini chukua hatua ya ziada
UNASUBIRI NINI KUFANYA MAAMUZI SASA?, UNANGOJA NINI KUCHUKUA HATUA
ILIYONYOOKA?ACHA KUOGOPA WEKA NIA MBELE NA THUBUTU SASA ...........

Nataka kufanya maamuzi magumu..........
 
Filipo mimi nilishajitoa kwenye list long ago. Sasa hvi ni mtazamaju tuu.

Naogopaga......................

Mimi nilianza kupewa shkamoo nikiwa na miaka 6................ leo nna miaka 70+ na bado naendelea kudonoa videnti
 
Back
Top Bottom